HAFLA YA 'LUGOYE DAY 2020' YAFANA
Pichani ni Wanachama wa Lugoye Social Club wakiwa katika picha ya pamoja muda mchache baada ya kikao Cha ndani kinachowakutani Wanachama waliohudhuria sherehe hizo zinazofanyika kila Mwaka. ....SEHEMU YA KWANZA:Sherehe hizi zilitanguliwa na Misa ya shukrani na kuwaombea wote waliotangulia katika familia ya mwenyeji wetu Mzee Leonce Rwebangira
Mzee Bushoke akibadilishana Mawazo na Mwenyekiti wake Ndugu Wenceslaus Rwiza pamoza na Mzee Leonce Rwebangira ambaye ndiye mwenyeji wa hafla ya Lugoye 2020 ambalo limekuwa tukio la kuambatana na matendo ya huruma kwa kusaidia jamii inayo wazunguka hususani katika Vijiji VyaoEng George Mutabuzi akiteta jambo na Mzee Bushoke katika sherehe hii ya Rugoye Day 2020 Lugoye
Lugoye Social Club inawakutanisha Wanachama 20 wanaozaliwa katika vijiji vya Ishozi ,Gera na Ishunju na makazi yao yakiwa Jijini Dar es Salaam Makabidhiano ya hundi ya shilingi Milioni 2 kwa uongozi wa Shule ya Medium iliyo chini ya Kanisa Katoliki katika kijiji cha Rutalo Parokia ya Ishozi Wilaya Missenyi
Mara baada ya kukabidhi hundi ,Padre akimshukuru Mwenyekiti wa Lugoye ndugu Leonce na mweka hazina wa umoja huo Mzee Bushoke
Kikao cha ndani cha Wana Lugoye
Muendelezo wa matukio ya picha katika kikao cha ndani
Kwa muda mrefu sasa WanaLugoye wameendelea kuchangia maendeleo Katika kata husuka kila wafanyapo mkutano wao na hafla ya kufunga mwaka wameendelea kuacha alama katika nyanja mbalimbali 'Sasa Lugoye Day' ni habari nyingine na wengi wanaitolea mfano
Kikao cha ndani kikiwa kinaendelea
Lugoye Women wamekabidhi Msaada ya tanki la Maji lenye ujazo wa lita 3000 katika Shule ya Msingi Medium Kata Ishozi,Endelea kufatilia tukio zima katika picha
Mzee Leonce katika utambulisho
Mrs Machume pichani
Mzee Machume wakati wa Utambulisho
Omulangila Ben Kataruga wakati wa Utambulisho
Eng George Mutabuzi wakati wa Utamnbulisho.
Mlangila Focas Lutinwa akisalimiana na Athas Mbelwa
Ben Mulokozi wakati wa Utambulisho
Mlangila Focas Lutinwa na Athanas Mberwa wakibadilishana mawazo
Tupo katika kijiji cha Rutala Kata Ishozi
Mr Athanas Mberwa pichani
Mlangila Ben Kataruga akiendelea kufuatilia kinachojiri hafla ya Lugoye 2020.
Mwenyekiti Wenceslaus Rwiza akitolea jambo ufafanuzi
Burudani kutoka kikundi cha Wawindaji
Mandhali safi na tulivu uwapo katika kijiji hiki cha Rutala Kata Ishozi Wilaya Missenyi
Muendelezo wa matukio ya picha ,hafla ya Lugoye Day 2020
Mzee Leonce na Adv Buberwa wakiendelea kufuatilia kinachojiri...
Mwenyekiti wa
Muendelezo wa matukio ya picha ,hafla ya Lugoye Day 2020Taswira mbalimbali hafla ikiendelea...
Burudani za hapa na pale zikiendelea...
Muendelezo wa Matukio ya picha
Ahsante Sana Wana Lugoye kwa upendo kwa Jamii yenu
Muendelezo wa matukio ya picha
Sherehe ikiwa inaendelea pichani
Adv Buberwa pichani kushoto
Maelezo ya Risala muhimu ya Rugoye Women kwenda kwa Mgeni Rasmi ikiendelea.

Kwa mweaka 2020 Lugoye Women wameweza kukabidhi Msaada ya tanki la Maji lenye ujazo wa lita 3000.

isala ya Rugoye Women ikikabidhiwa kwa Mgeni Rasmi wa hafla hii Mh.Diwani wa Kata Ishozi.
Shukrani kwao Wana Lugoye kwa kuendelea kuguswa na kuchangia Jamii kwa kila Mwaka