Bukobawadau

MAZISHI YA MPENDWA ANNALBINA RWAMUGILA KIJIJINI KASHARAZI GERA

Misa ya Mwisho kabla ya Mazishi ya mpendwa wetu Mlezi wetu,Mama Annalbina Rwamugila yaliyofanyika nyumbani kwao Kijijini Kasharazi Gera Dec 2020 na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa Waombolezaji
Neno la Bwana yetu likisoma  mazishi ya mpendwa Annalbina Rwamugila.
Marehemu Mama yetu mpendwa Annalbina Rwamugila pichani enzi za Uhai wake.
Baba Paroko akiongoza Ibada ya Mazishi hayo
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Annalbina Rwamugila aliyefariki ghafla .
Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa Annalbina Rwamugila.
Taswira mbalimbali Ibada ya Mazishi ikiendelea
Muendelezo wa matukio ya picha Waombolezi katika mazishi ya mpendwa wetu Annalbina Rwamugila
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiririko wa Picha mbalimbali za matukio ya mazishi ya Mpendwa wetu Ma Annalbina Rwamugila.
Pichani katikati ni Binti wa kuzaliwa na Marehemu Annalbina Rwamugila akiwa na wanae.
Poleni sana.mwenyezi Mumgu awape faraja wote
Muendelezo wa matukio ya picha Waombolezi katika mazishi ya mpendwa wetu Annalbina Rwamugila Dec 2020 Kijijini Kasharazi Gera.
Mshereheshaji,kiongozi wa utaratibu mzima wa Mazishi hayo,akitolea jambo ufafanuzi

Mzee Bitegeko na Mlangira Kaka yetu Kataruga wakishiriki mazishi ya Mpendwa Annalbina Rwamugila 

Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima za mwisho
Utaratibu unaoendelea
kwaWaombolezaji  kutoa heshima za mwisho mwili wa Mpendwa Annalbina Rwamugila
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiwa unaendelea
Wasifu wa Marehemu Ma Annalbina Rwamugila ukisomwa
Bukobawadau tunatoa pole sana kwa wanafamilia kwa msiba huu mzito,tupo pamoja katika sala na Mwenyezi Mungu awape faraja na nguvu katika kipindi hiki kigumu
Raymond akiendelea kufuatilia kila kinachojiri
Endelea kufuatilia matukio ya picha yaliyojiri katika mazishi haya kutoka kijijini Kasharazi Gera
Teacher akipokea rambirambi kutoka kwa Mwakilishi wa marafiki wa familia waishio nchini Canada.
Dah poleni sana wafiwa kwa kuondokewa na Dada yetu
Salaam za rambirambi kutoka makundi mbalimbali
Picha mbalimbali za matukio ya mazishi ya Mpendwa wetu Ma Annalbina Rwamugila.
Mh. Diwani Bitegeko akitoa Salaam za rambirambi msiba wa Ma Annalbina Rwamugila.
Kaka mkubwa wa familia akitoa neno na Salaam za rambirambi kwa niaba yake na kwa niaba ya Wadogo zake Domina na Stide walioko nchini Marekani..
Mkwe wa familia hii.

Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu likiwa limebebwa kuelekea eneo la kaburi
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Annalbina Rwamugila likiwa tayari kuingizwa kwenye kaburi
Poleni Sana wanafamilia  pole Sana Raymond.
Taswira mbalimbali katika picha wakati mazishi yakiendelea...
Mungu aliumba Dunia katika nguzo nne, Msalaba wa Yesu unapande Nne,Apumzike kwa Amani mpendwa wetu Ma Annalbina Rwamugila.
Binti pekee wa kuzaliwa na Marehemu Annalbina na mme wake wakiweka shada la maua kwenye kaburi
Ndugu wa Marehemu Mpendwa wetu Annalbina Rwamugila wakiweka shada la maua
Kwa pamoja Kaka zake na marehemu Annalbina Rwamugila Wakiweka Shada la maua
Msemaji wa familia akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu
Eneo la Kaburi utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea
Muendelezo wa matukio ya picha eneo la kaburi, utaratibu wa kuweka Mashada ukiendelea..
Simanzi ikiendelea kutawala...

Rip Mpendwa wetu Mama yetu Annalbina  Rwamugila, Wajukuu zako tutakukumbuka Daima.

Hii ndiyo Nyumba ya Milele alipopumzishwa Marehemu Mpendwa wetu Annalbina Rwamugila
Waombolezejaji wakabadilishana mawazo mara baada ya mazishi ya mpendwa wetu 
Waombolezejaji wakabadilishana mawazo mara baada ya mazishi ya mpendwa wetu 
 
INAENDELEA SEHEMU YA VIDEO...


Next Post Previous Post
Bukobawadau