Bukobawadau

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE 2020 SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANI JOSIAH YAFANA SANA

Mahafali ya Kidato cha nne 2020 shule ya Sekondari ya Wasichani Josiah iliyopo manispaa Bukoba yaliyofanyika juma lililopita, Mgeni Rasmi alikuwa Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato pia mahafali hayo yalihudhuriwa na Wazazi pamoja na Wageni mbalimbali.

Katika picha ya pamoja Wahitimu wa Kidato cha Nne 2020 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah.

Wahitimu wa Kidato cha Nne 2020 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah wakielekea ukumbini
 Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah.

Wadau wa Shule ya Wasichana ya Josiah katika picha picha ya pamoja na Naibu waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini  Mhe. Stephen Byabato
Ni furaha tele ya kuhitimu Elimu ya Kidato cha Nne,pichani ni Mama na Binti yake

Nasra Hamza mmoja wa wahitimu wa Kidato cha nne 2020 Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah
Nasra Hamza katika picha ya pamoja na Viongozi waandamizi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah.
Kijana Kelvin Mpilla akisalimiana na Mhe. Stephen Byabato Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini na Naibu Waziri wa Nishati
 


INAENDELEAAAAA.......Next Post Previous Post
Bukobawadau