Bukobawadau

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA GENEROZA MUGYABUSO KIJIJINI BUKWALI

Muonekano wa Kaburi la Mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabusa alifariki tarehe tarehe 17/11/2020 huko mkoani Shinyanga alipokuwa akipata matibabu na mazishi yake yamefanyika Nov 20,2020 Nyumani kwake kijijijini Bukwali- Kashenye Wilayani Missenyi.

Wanafamilia na waombolezaji wakiwa katika hali ya simanzi kufuatia kifo cha mpendwa wao Ma Generoza Mugyabuso

Umati mkubwa wa waomboleza kutoka maeneo mbalimbali wakiendelea kushirika mazishi hayo

Mama Justice Rugaibula,Ma Grace akiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabuso.

Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Generoza Mugyabuso

Mlangila Justice Rugaibula akifatilia mahubiri ya Paroko wakati wa Ibada takatifu ya Mazishi ya Ma Generoza Mugyabuso ambaye ni shangazi yake

Neno la shukrani kutoka kwa wanafamilia

Rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali

Muendelezo wa matukio ya picha

Taswira mbalimbali wakati mazishi yanaendelea

Nasaha kwa watoto wa mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabuso

Bwana Laurence Barongo,Harlod Barudi na Rama ni sehemu ya waombolezaji walioweza kushiriki mazishi hayo

Eneo la kaburi misa ya mazishi ikiwa inaendelea

 Muda mchache kabla ya Geneza kuingizwa kwenye kaburi

Mmoja wa watoto wa Marehemu Ma Generoza Mugyabuso akiweka udongo kwenye kaburi. 


 

Bwana Abdallah akiwa ameungana na waombolezaji wengine katika mazishi ya mpendwa wetu Ma Generoza Mugyabusa yaliyofanyika Siku ya Ijumaa nyumbani kwake Kijijini Bukwali-Kashenye

Ma Grace akiweka Udongo kwenye kaburi la Mpendwa wetu Ma Genoroza Mugyabuso,Apumzike kwa  Amani.

Utaratibu wa kuweka Udongo kwenye kaburi ukiwa unaendelea

Utaratibu wa kuweka udongo kwenye kaburi ukiwa unaendelea....

Muendelezo wa matukio ya picha eneo la kaburini Mazishi.

Eneo la kaburi mazishi yakiendelea

Taswira mbalimbali wakati Mazishi ya mpendwa wetu yakiendelea..

Dada Stella na Mlangila Juctice Rugaibula wakiweka shada la maua kwa pamoja

Wanafamilia wa kiendelea na utaratibu wa kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa wao

Poleni sana wanafamilia

Tswira mbalimbali.

Hii ndiyo nyumba ya milele ya Mpendwa wetu Generoza Mugyabuso,Tunamuombea Mungu Ampumzishe mahala Salama

Mzee Kabaka pichani rafiki wa familia

Muendelezo wa matukio ya picha Msiba wa Ma Generoza Mugyabuso

Taswira mbalimbali wakati Ibada ya mazishi ikiendelea

Mkubwa Justice na Swaiba wake Afidhi Karugira pichani

 Waombolezaji wakiendelea kumfariji rafiki yao Mlangira Justice Rugaibula

Mlangira Justice akibadilishana mawazo na waombolezaji kadhaa wa kadhaa waliofika kumfariji kufuatia kifo cha shangazi yake Ma Generoza Mugyabuso

Next Post Previous Post
Bukobawadau