UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA TOMAIDES (TOM) MWELA NYUMBANI KWAO MULEBA
Mapema kabla ya Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Tomaides Mwela kufanyika,Salaam za rambirambi zikiendelea kutoka katika makundi mbalimbali ya kijamii,wanaukoo na marafiki wa karibu wa familia
Ndugu wa familia ya mpendwa wetu Tomaides wakitoa historia kidogo ya mpendwa wetu,mbele ya Camera yetu jambo
Mama Merry Rwabizi Shemeji wa Mpendwa wetu Tomaides Mwela.
Kaka Mkubwa wa Marehemu Tomaides Mwela,Ndugu Mushobozi pichani akitolea jambo ufafanuzi
Ndugu Mulokozi wa pili pichani kutoka kushoto pichani akiendelea kushiriki mazishi ya kaka yake mpendwa Tomaides Mwela
Sehemu ya marafiki wa karibu wa familia ya Marehemu Tomaides Mwela
Michael Basota,katibu wa UWAKA Parokia ya Kinyerezi Jimbo katoliki Dar es Salaam akitoa salaam za rambirambi
Mr &Mrs Daud Kibogoyo pichani
Mlangila Ben Kataruga akitoa mkono wa pole kwa mama Mjane wa Marehemu Tomaides Mwela
Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha na maelezo
Mlangila Optaty Henry na Mlangila Ben Kataruga pichani
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya Tomaides Mwela
Utambulisho kwa wana kinyerezi
Mzee Mushoboji Kaka wa Marehemu Tomaides akiwajibika
Mama mzazi wa Marehemu Tomaides Mwela akiweka udongo kwenye kaburi
Watoto wa Marehemu Tomaides wakiweka shada la maua
Wawakilishi wa Kinyerezi Family wakiweka shada la maua, pichani yupo Michael Masota na Mlangila Ben Kataruga
Muendelezo wa matukio ya picha
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA NA MAELEZO
Aneth Kadigi Mrs Daudi Kibogoyo
Kaka Alex Mtiganzi akiwafariji wafiwa...
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA NA MAELEZO
0 comment:
Post a Comment