Bukobawadau

A FINAL GOODBYE FOR FRANCIS ISHENGOMA RWECHUNGURA

Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura iliyofanyika nyumbani kwao kijijini Kashambya Gera Wilayani Missenyi ikiongozwa na Baba Askofu  Rweyongeza.
Wanafamilia ya mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi hayo.
Wanafamilia...
Askofu Rweyongeza wa Jimbo katoliki la Kayanga akiongoza Ibada takatibu ya Mazishi ya mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura
Neno la Bwana likisoma na Innocent Francis Rwechungura

Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya Francis Ishengoma Rwechungura
Marehemu Francis Ishengoma Rwechungura pichani enzi za uhai wake
Umati wa waombolezaji wakishiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Francis Ishengoma.
Wanafamilia wakiendelea wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya mpendwa wao
Muendelezo wa matukio ya picha

Salaam za rambirambi kutoka Rubya hospital, kituo anachofanyia kazi kijana mkubwa wa Marehemu Francis Ishengoma Rwechungura,Innocent Rwechungura
Wasifu wa Marehemu Francis Ishengoma ukizsomwa na Dr Conso Banda ambaye ni pacha wake
Muda mchache kabla ya kuelekea eneo la kaburi

Jeneza likiingizwa kaburini
Tangulia Francis tutaonana badae..
Dr.Conso Banda katika picha ya pamoja na watoto wa pacha wake mpendwa francis Ishengoma Rwechungura.

Watoto wa kuzaliwa na mpendwa wetu Francis Ishengoma Rwechungura  katika picha ya pamoja na mama yao mzazi.

Mka Mwana mke wa Innocent Francis
Bi Murungi na Dr. Conso katika picha ya pamoja
Bi Murungi Badru Kichwabuta na Mama Merry Kalikawe pichani
Ndugu Sued Kagasheki akimfariji rafiki yake Paul Rwechungura pichani

 Next Post Previous Post
Bukobawadau