Bukobawadau

RAIS DKT. MAGUFUL:I AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA MADARASA YA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA YA IHUNGO MJINI BUKOBA, MKOA WA KAGERA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar alipomaliza kuongea na wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa din i alipomaliza kuongea na wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono mamia ya wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti na Naibui Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau