Bukobawadau

MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mama Samia Suluhu Hassan akila kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021
Mama Samia Suluhu Hassan akila kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia Mama Samia Suluhu Hassan.

Mama Samia Suluhu Hassan akielekea kukagua gwaride rasmi baada ya kula kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulujijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021
Mama Samia Suluhu Hassan akielekea kukagua gwaride rasmibaada ya kula kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021

PICHA NA IKULU

Next Post Previous Post
Bukobawadau