Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA KUTOKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiongoza Baraza la Mawaziri kwa Mara ya Kwanza baada ya kuapa Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiongea baada ya kuapa Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 202
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiongoza kuomba dua alipokwenda kumpa pole Mama Janeth Magufuli mara tu baada ya kuapa Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi19, 2021 Pamoja naye ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ally na Binti wa Marehemu Rais Dkt John Pombe Magufuli
PICHA NA IKULU

 
Next Post Previous Post
Bukobawadau