Bukobawadau

Matukio katika picha wakati wa kumuaga Hayati John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.
Askari  wa Usalama Barabarani wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma. 

Wabunge mbalimbali  waliohudhuria Sherehe za kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli wakifuatilia hotuba mbalimbali katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma. 

Mbunge wa Momba Condester Sichalwe akilia kwa uchungu mara baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma. 

Mwili wa aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli ukitolewa katika viwanja vya Bunge kuelekea Uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya Kuagwa kitaifa. 

Mwandishi wa Habari wa Chombo cha EATV Bi OLiva Nyeliga akipiga saluti wakati akiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma

Watumishi wa Bunge wakiwa katika viwanja vya Bunge tayari kuuga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi MAELEZO

  
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau