SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

29 April 2021

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA MADAWA CHA KAIRUKI, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kiwanda cha Madawa cha Kairuki, Ellen Magita, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Madawa cha Kairuki, Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 


0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU