Bukobawadau

MAZISHI YA OMULANGIRA GODWIN RUGOMORA BUKOBA

    Tumempumzishakatika makazi yake ya milelen Omulangira Godwin Mulokozi baada ya safari yake hapa Dunia kumalizika,Mazishi yamefanyika  Nyumbani kwake Nkindo -Bukoba na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa waombolezaji.

Jana tumempumzisha katika makazi yake ya milele Omulangira Godwin Rugomora Nyumbani kwake Nkindo Bukoba Tunamuombea pumziko la amani. Mwenyezi Mungu awape faraja familia ya Omulangira Rugomola
Mchungaji akitoa neno katika Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu.
Muonekano wa Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu Omulangira Godwin Rwezaura Rugomora
Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi.
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa wamehudhuria Mazishi ya Omulangira Godwin Rugomora
Muendelezo wa Matukio ya picha kutoka Kijijini Nkindo nje kidogo wa Mji wa Bukoba,katika Mazishi ya Mzalendo,Mpambanaji,Mwanaharakati wa Maendeleo Omulangira Godwin Rwezaula Rugomora
WASIFU:Mpendwa wetu Marehemu Omulangira Godwin Rwezaula Rugomola alizaliwa katika hospital ya Mkoa Kagera tarehe 10/4/1950 akiwa ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Ma Herena na Omukama Rugomora.


Sehemu ya Wanaukoo na wa Abahinda,

Marafiki wa familia kutoka Jijini Mwanza wakiwa wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mpendwa Omulangira Godwin Rugomola
Mpendwa Omulangira Godwin Rugomora alibahatika kuoa na kupata watoto jumla ya watoto 7.Wakiume Wanne na Wakike watatu pichani ni sehemu ya watoto hao
Baba Mchungaji akiendelea kutoa mahubiri
Taswira mbalimbali kupitia Bukobawadau
Wakwe wa familia wakiwa wameungana na waombolezaji wengine
Omulangira Deo Rugaibula pichani kulia
Mchungaji akitoa utambulisho kwa wanaukoo.
Muendelezo wa matukio ya picha.

Utambulisho na shukrani  kwa makundi mbalimbali kwa kuzingatia umuhimu
Salaam za rambirambi kwa niaba ya Kanisa la KKKT Nkindo.
Mama Muhazi pichani,miongoni mwa waombolezaji msiba wa Omulangira Godwin Rugomora
WanaKaragwe wakiwa wameungana na waombolezaji wengine..
Watu  na Mioyo yao AHSANTE Sana kwa upendo Uncle.

Mjane wa Omulangira Rugomora, akiaga mwili wa mume wake
Mama Mjane akitoa heshima zake za mwisho kwa mpendwa wake...
Watoto wa Marehemu wakiendelea kutoa heshima za mwisho
Pole sana Kaka
Vilio huzuni na machozi kwa wanafamilia...
Mkono wa pole na Salaam za rambirambi
Tunatoa pole kwa familia ya #OmulangiraRugomora ndugu, jamaa na marafiki wote waliofikwa na msiba huu. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Katika hali ya Simanzi anaonekana Bi Abella Rugomora pichani kulia.
Bi Kadigi pichani kulia ni miongoni mwa wanafamilia...
Msafara kuelekea eneo la Kaburi
Kuelekea eneo la kaburi...
Jeneza lenye mwili wa Omulangira Godwin Rugomora likiwa tayari kuingizwa kwenye kaburi
Jeneza ambalo lina mwili wa Omulangira ,Godwin Rugomola likiingizwa kaburini kijijini kwao Nkindo -Bukoba . #AhsanteOmulangiraRugomora #tutaonanabaadae.
Kwaheri Baba,Kwakeri Mlezi Omulangira Godwin Rugomola
Endelea kuwa nasi kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha,Zaidi fatilia kurasa zetu za Instagram na facebook kwa picha zaidi na habari za haba na pale @bukobawadau ....
Hakika ni Simanzi kubwa kwa wanafamilia wote kumpoteza  Mpendwa wao

Tayari kusimika Msalaba.
Mchungaji akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Omulangira Godwin Rugomora
Mama Mjane wa Mpendwa wetu Omulangira Godwin Rugomora akiweka shada ya maua.
Watoto wa kuzaliwa na Mpendwa Omulangira Godwin Rugomora wakiweka shada la maua kwa pamoja
Wajukuu wakiweka Shada la maua.
Raha ya milele umpe Ee Bwana; Na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani; AMEN
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea..
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea
Muonekano wa Nyumba ya Milele ya mpendwa wetu.
Omulangira Godwin Rugomora alibahatika kuoa na kupata watoto jumla ya watoto 7.Wakiume Wanne na Wakike watatu pichani wakiwa wameungana na waombolezaji wengine eneo la kaburi.
Picha kwa ajili ya kumbukumbu  kwenye kaburi la  Baba yao mzazi
Pole sana Ndugu Abella kwa kumpoteza Mzazi


Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 50504


Raha ya milele umpe Ee Bwana; Na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani; AMEN WanaKagera tulikueshimu zaidi Omulangira Rugomora.
Waombolezaji katika kuwafariji wafiwa
Muendelezo wa matukio ya picha mara  baada ya Mazishi ya mpendwa wetu Omulangira Godwin Rugomora.
MWISHO;Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
....Tunamuombea pumziko jema Omulangira Godwin Rwezaura Rogomora.
Next Post Previous Post
Bukobawadau