Bukobawadau

UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA MARIALUSIA BITEGEKO NYUMBANI KWAKE KIBETA BUKOBA

Hakika ilikuwa simanzi kubwa siku ya Jana kwa wanafalia na waombolezaji wengine tulipompumzisha mpendwa wetu Marialusia Bitegeko , Kibeta -Bukoba katika makazi yake ya milele. Raha ya milele umpe eeh Bwana; na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike apumzike kwa Amani
Watoto wa kuzaliwa na Ma Marialusia Bitegeko muda mchache kabla ya Ibada ya Misa takatifu ya mazishi ya mpendwa wao yaliyofanyika Siku ya Alhamis June 24,2021 nyumbani kwake Kibeta Bukoba.
Mapema kabla ya  Ibada takatifu,Wajukuu wa Marialusia wakiyanya utekelezaji wa taratibu za kimila
Wajukuu wakiendelea kuwajibika 'Joking' (Okusilibya).....
    Matukio yaliyojiri katika Sherehe ya mwisho ya maisha ya Mpendwa Marialusia F.Bitegeko,pichani ni sehemu ya wajukuu wakiwajibika kimila na desturi.....
Muonekano wa Jeneza lenye Mwili wa  Mpendwa wetu Marialusia F.Bitegeko.
Katikati anaonekana mama Kataruga akiwa ameungana na waombolezaji wengine.
Endelea kwa nasi Bukobawadau kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha
Baba Paroko akiendelea kuongoza Ibada ya mazishi ya Mpendwa wetu


Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi hayo
Taswira mbalimbali msibani hapo
Muendelezo wa matukio ya picha,mazishi ya Marialusia Bitegeko
Utaratibu wa kutoa sadaka ukiendelea...
Ni wakati wa kutoa Sadaka
Taswira mbalimbali,umati ukishiriki Misa takatifu,mazishi ya mpendwa Marialusia Bitegeko
Wakati neno la Bwana likisoma...
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi hayo
Bi Marialusia F.Bitegeko pichani enzi za uhai wake


Vilio na machozi wakati wanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho kuuaga mwili wa Mpendwa Marialusia Bitegeko...
Wajukuu wakitoa heshima zao za mwisho.
Hakika ni huzuni mkubwa kuondokewa na mpendwa wako...
Poleni sana sana Ngugu,Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Simanzi,vilio na mashozi kwa wanafamilia....
Heshima za mwisho kwa mpendwa wetu
Last respect 
.....Muonekano wa Jeneza
Jeneza likiingizwa kaburini,Mwenyezi Mungu ampumzishe mpendwa wetu.
Kwaheri Mama yetu,Kwaheri mlezi wetu Marialusia Bitegeko
Mwenyezi Mungu ampe pumziko na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Ameen,"
Eneo la kaburi,mazishi yakiendelea....
Eneo la kaburi,mazishi yakiendelea....
Wanafamilia wakiweka udongo pichani ni Fredy Bitegeko na Anamaria Bitegeko
Wajukuu wakiweka shada la maua...
Wakamwana wa familia hii wakiweka shada la maua...
Wakamwana wakati wakuweka shada la maua....
Hildebranda Bitegeko,Fredy Bitegeko,Anamaria Bitegeko na Agnes wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yao mpenzi
Watoto wa Marehemu Marialusia Bitegeko wakiweka shada la maua kwa pamoja
Padre akiweka shada la maua...
Mwisho Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Muendelezo wa matukio ya picha.
Urafiki;Anaonekana Obugwaizoba aka Mjwau akimfariji Kaka Fredy Bitegekoambaye ni mtoto wa marehemu Marialusia Bitegeko...
Mwisho Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
 Next Post Previous Post
Bukobawadau