UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MPENDWA MA GRENSIA ENOCK KAMUZORA KIJIJINI KIGARAMA KANYIGO.
Tunampumzisha Mama yetu Ma Grensia Enock Kamuzora (1946-2021) tuungane kumuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja wanafamilia ya mpendwa wetu pamoja na Mzee wetu Enock Kamuzora. #NendaSalamaBibi,tangulia Mama, Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda

Ibada ya ndani ikiwa inaendelea....
Bukobawadau tunatoa pole kwako Kaka na rafiki yetu Mujuni Kamuzora (pichani kushoto) na wanafamilia nyote
Umati mkubwa wa Waomboleza wakiendelea kushiriki Ibada hiyo na matukio mbalimbali yaliyojiri katika mazishi ya Mpendwa Ma Grensia Enock Kamuzora
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abelnego Mushahara akitoa neno la faraja kwafamilia ya Mzee Enock Kamuzora.
#SalaamZaRambirambi Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akitoa neno la faraja kwawafiwa.Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akitoa neno la faraja kwawafiwa.
Wanafamilia wakifatilia kinachojiri kwa umakini mkubwa.
Muendelezo wamatukio Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Mwakilishi wa KADEA akitoa Salaam za rambirambi
Muendelezo wa matukio ya picha,Salaam zarambirambi zikiendelea
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043
Walio simama ni Watoto wa kuzaliwa na Mzee Enock Kamuzora na Mpendwa wake Ma Grensia Kamuzora
Utambulisho ukiwa unaendelea...
Utambulisho kwa wanafamilia ukiendelea....
Utambulisho ukiendelea kwa makundi mbalimbali
Kutoka Maruku na Ndugu wa familia ya Mpendwa wetu Ma Grensia Kamuzora.
Muendelezo wa matukio ya picha muda mchache kabla ya Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Ma Grensia Enock Kamuzora.Hakika watu ni wengi kweli kweli....
Marafiki wafamilia ya Mzee Enock Kamuzora,Kutoka nchini Uganda wakitoa salaam za rambirambi
Salaam za rambirambi kutoka nchini Uganda.
Mtaalam Evanc Kamenge na Ndugu Hamidu Komungoma ni miongoni mwa waombolezaji walioshiriki Mazishi hayo.Kijijini Kigarama Kanyigo
Muendelezo wa matukio ya picha.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea kwa watu wote
Askofu Bagonza.
Pole Sana Mzee wetu Mzee Kamuzora, kwa msiba huu mkubwa. Mwenyezi Mungo akujalie nguvu na faraja kipindi hiki kigumu. Roho ya mama yetu irate faraja mahali pema mbinguni...
Poleni sana ndugu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na ampuzishe kwa amani mpendwa wetu...
Tunamuombea Mungu ampokee vyema Mama yetu na aawatie faraja wanafamilia Wa Mzee Enock Kamuzora na ndugu wa karibu.
Mwanzo wa Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Mama Grensia Enock Kamuzora
Ibada ikiwa inaendelea...
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Mpendwa wetu Ma Grensia Kamuzora.
Mchungaji akiongoza Ibada ya Mazishi hayo,Kijijini Kigarama Kanyigo
Mtiririko wa matukio ya picha kupitia Bukobawadau.
Muendelezo wa matukio ya picha
Mchungaji akiendelea kutoa mahuburi /Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wety Grensia Enock Kamuzora
Utaratibu wa kuweka Udongo kwenye kaburi la Mpendwa Ma Grensia Enock Kamuzora unaendelea..
Mtawa akiweka Udongo kwenye kaburi
Jamani Mzee wetu pole Sana tunakuombea faraja na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.

Watoto wakike Abela,Akiza na Rehema wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yao Mpendwa.

Shada likiwekwa kwenye kaburi na Mkwe wafamilia,Wema Kamuzora ,Bwn na Bi Mujuni Kamuzora tumuombee Mamayetu Ma Grensia Kamuzora pumziko jema...
Mzee Ezra Mtagwaba ambaye ni Kaka wa marehemu akiweka shada la maua
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea...
Muendelezo wamatukio ya picha
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Jimbo Kuu la Bukoba, Dk Abelnego MushaharaAskofu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza akiweka shada la maua
Askofu Bagonza akiweka Shada la maua
Utaratibu wa kuweka Mashada ya maua katika kaburi la Mpendwa Gerensia Kamuzora ukiendelea.
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Picha kwa ajili ya kumbukumbu,Nenda Salama Ma Grensia Kamuzora.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045