Bukobawadau

CAMERA YETU KIJIJINI KISHANDA LEO

Wahaya waendelea kuwa mfano kwa nyumba nzuri za kupendeza zenye kila sifa inayofaa kwajili ya kuishi na familia huku ukifurahia utulivu mzuri.

Tunakutana na nyumba nzuri ya kisasa hapa ni Kijijini Kishanda barabara kuu kuelekea Nshamba -Muleba hakika inapendeza ,Bukobawadau  tunapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza mmiliki... 
#Mjengostandard #bukobathisdecember #nyumbanikwanza#Bukobawadau
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
 

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau