Bukobawadau

A FINAL GOODBYE FOR JUSTUC MWEMEZI IN PICTURES

Umati mkubwa wa Waombolezaji wameza kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi yaliyofanyika Jana alhamisi Nov4,2021 Nyumbani kwao Kijijini Kihumulo Nshamba- Muleba 

Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi
Waombolezaji wakimfariji Mama Mzazi wa Mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi.
Katika picha ya pamoja familia ya mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi na  Wawakilishi wa Wafanyakazi na wawakilishi wa waajiri wa  DIT alipokuwa akifanya kazi mpendwa wetu Justuc Mwemezi.
Wawakilishi wa Wafanyakazi na wawakilishi wa waajiri wa  DIT wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya mpendwa wetu Justuc Mwemeezi.
Mjane wa mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi 
katika picha ya kumbukumbu  katika jeneza lenye mwili wa mumewe mpenzi muda mchache kabla ya Ibada ya mazishi.
Kaka  mkubwa wa familia Mzee Deocratias Selestin Buberwa (kushoto) na Mdogo wake Eustsdius Rutta (pichani kulia) wakiwa na familia ya mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi
Muendelezo wa matukio ya picha muda mchache kabla ya Ibada ya Mazishi...

Muonekano Nyumbani Kijijini Kihumulo...
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi likiwa kwenye Gari maalum la huduma ya mazishi (Bukoba funeral Services) tayari kuelekea kanisani kwa ajili ya Ibada ya mazishi na kumuaga mpendwa wetu Justuc Mwemezi....
Taswira nje ya Kanisa Katoliki Kihumulo -Nshamba.
Waombolezaji wakibadilishana mawazo katika Msiba wa Justuc Selestin Mwemezi....
Jeneza likiwa limebebwa kuelekea Kanisani...
Ndugu Rutta akiteta jambo na mama Mkwe wake.
Ibada ya mazishi ikiwa inaendelea katika Kanisa Katoliki la Kihumulo Nshamba -Muleba
Ibada ya mazishi ikiwa inaendelea katika Kanisa Katoliki la Kihumulo Nshamba -Muleba...
Wanakwaya wakiwajibika.
Muendelezo wa matukio ya picha Ibada ikiendelea.
Muendelezo wa matukio ya picha Ibada ikiendelea.
Baba Paroko akiendelea kutoa mahubiri wakati wa Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Justuc Mwemezi
Mama mzazi wa mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi machozi yakimtoka wakati wa kutoa heshima za mwisho.
Mjane wa mpendwa Justuc Selestin Mwemezi na mwanae wakitoa heshima za mwisho..
Machozi na vilio vikiendelea kutawala kwa wanafamilia
Salaam za rambirambi kutoka TANROK Jumuiya ya Watanzania waishio Korea
Salaam za rambirambi kutoka kanda ya Mtakatifu Anualite (Mwakilishi)
Kiongozi wa Kijiji Kihumulo katika Salaam za rambirambi
Bi Dionisia Mjane wa marehemu Justuc Mwemezi,kwa namna ya pekee akitoa neno la shukraniu kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Neno la shukrani za familia likitolewa na Mzee Deocratias Selestin Buberwa.

Salaam za rambirambi kutoka DIT.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505043
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi likipakizwa kwenye Gari ,tayari kuelekea Nyumbani kwa ajili ya shughuli ya Mazishi

Hii ndiyo Safari ya Mwisho ya Maisha ya rafiki yetu,Kijana mwenzetu,Kaka na Mzazi wa watoto watatu Justuc Mwemezi
Hakika ni Simanzi ,Jeneza likiwa limebebwa kuelekea eneo la Makaburi tayari kwa Mazishi
Waombolezaji Wakishiriki Mazishi hayo
Tunamuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja wanafamilia ya mpendwa wetu.
Umetangulia Justuc Selestin Mwemezi ,Tutaonana badae...!

Hakika tunaombea faraja kwa familia,poleni Sana sana Ndugu
Ni huzuni, simanzi na majonzi.
Padre akiweka Udongo kwenye kaburi la Mpendwa wetu Justuc Selestin Mwemezi.

Mtoto Mkubwa Wa marehemu Justuc anaonekana akiweka Udongo pamoja na Mama yake Mzazi.

Machozi na vilio vikiendelea kutawala Mazishi ya Justuc Mwemezi

Utaratibu wa kuweka Udongo ukiendelea.

Wanafamilia wakiendelea kuweka Udongo .

Msalaba ukiwekwa kwenye kaburi.

Mjane Bi Dionisia akiweka Shada la maua kwenye kaburi la mme wake mpendwa  Justuc Mwemezi
Bi Dionisia Mjane wa marehemu Justuc Mwemezi akisaidiana na Wifi yake kuweka shada la maua.
Uncle akiwa tayari kuweka shada la maua
Kaka zake na mpendwa Justuc Mwemezi wakiwa shada la maua
Muendelezo wa  picha utaratibu wa mashada

Muendelezo wa matukio ya picha Mazishi ya Justuc Mwemezi
 






 
 



 

Next Post Previous Post
Bukobawadau