Bukobawadau

NI FURAHA KWA FAMILIA YA MLANGILA JUSTIN LAMBART KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KAMPENI YA MARIATHON 2021 (JIMBO BUKOBA)

Familia ya Mlangila  Justin Lambart  pichani muda mchache kabla ya kukabidhiwa  Cheti cha shukrani kwa kuuchangia utume wa Radio Maria Tanzania katika Misa ya Shukrani kwa Kushika nafasi ya kwanza Kijimbo (Bukoba) na ya nafasi ya tatu Taifa Katika Kampeini ya Mariathon 2021 Shahidi wa Matumaini .Misa imefanyika nyumbani kwake Kijijini Bugandika na kuongozwa na baba Askofu Kilaini.
Misa takatifu iliyoambatana na Kumkabidhi sanamu ya Bikira Maria aliyozawadiwa kutoka uongozi wa Radio Maria Tanzania Mulangila Justine imekabidhiwa na Baba Askofu Desiderius Rwoma Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Bukoka.
Askofu Desiderius Rwoma Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Bukoka akionesha Cheti maalum cha shukrani kabla ya kumkabidhi Mlangila Justin Lambart.
Mlangila Lambart na mkewe wakipokea Cheti cha Shukrani Kutoka Radio Maria,
Radio ya Kikatoliki Tanzania inayomjenga msikilizaji "Kimwili, Kiakili na Kiroho" kwa kupitia vipindi mbalimbali vya "Kidini na Kijamii

 
Mlangila Justin Lambart akifurahia Cheti cha
nafasi ya kwanza Jimbo katoliki (Bukoba) na nafasi ya Tatu (Taifa) Katika Kampeini ya Mariathon 2021 Shahidi wa Matumaini inayoratibishwa na Radio Maria Tanzania.
Muonekano wa Cheti Maalum cha Shukrani kutoka Radio Maria,Radio ya Kikatoliki Tanzania inayomjenga msikilizaji "Kimwili, Kiakili na Kiroho" kwa kupitia vipindi mbalimbali vya "Kidini na Kijamii.
Pata mtiririko mzima wa matukio yaliyojiri Kijijini Bugandika katika Ibada ya Shukrani Nyumbani kwa Mlangila Justin  Lambart.
Picha /video na;Bukobawadau Media
Sehemu ya Mapadre waliohudhuria Misa hiyo wakiongozwa na Askofu Kilaini
Askofu Msaidizi wa Jimbo katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini akiongoza Misa
Sehemu ya Wanakwaya wa Katisa Katoliki Bugandika.

Askofu Kilaini akiendelea kuongoza Ibada hiyo
Muendelezo wa matukio ya picha
katika Misa hiyo iliambatana na kumkabidhi sanamu ya Bikira Maria aliyozawadiwa na uongozi wa Radio Maria Tanzania Mulangila Justin Lambert nyumbani kwake Bugandika Jimbo katoliki la Bukoba
Neno la Bwana likisomwa...
Sadaka
Utaratibu wa kutoa Sadaka.
Sehemu ya Matoleo kwa wanafamilia
Hakika kwa njia ya Kristo Yesu, Mama Kanisa anaweza kutoa sadaka ya sifa katika shukrani kwa ajili ya kila kitu ambacho Mwenyezi mungu amekifanya
Wanakwaya Wakiwajibika
Mlangira Mtayoba akifurahia na Wanao ,Mabinti wa Mlangila Justin Lambart
Ndugu Jamal Kalumuna akiteta Jambo na Mzee Matungwa
Bukobawadau tunayo Offer kabambe kwako msomaji wetu Offer ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe na matukio mbalimbali

Mlangila Lambart na Mke wake...
Christopher Chichi Nyamwihula akifurahia jambo.
Picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
Umati wa Waumini wakiendelea kushiriki Misa hiyo iliyofanyika Kijijini Bugandika Nyumbani kwa Mlangila Justin Lambart
Muendelezo wa matukio ya picha
Dada
Wilhelmina Balyagati akitoa sadaka yake.
Pamoja na Mambo mengine Baba Askofu msaidizi wa Jimbo katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini alipohamasisha kuuchangia utume wa Radio Maria Tanzania katika Misa ya Shukrani kwa Kushika nafasi ya kwanza Kijimbo (Bukoba) Katika Kampeini ya Mariathon 2021 Shahidi wa Matumaini inayoratibishwa na Radio Maria Tanzania
Pia Askofu Kilaini alionyeshwa kuguswa na hali ya Mlemavu wa Macho mwenye uhitaji kwa ajili ya matibabu ya Mwanae ambaye Mlangila Justin Lambart ameahidi kumsaidia mtoto huyo kimatibabu na kumsomesha mpaka mwisho wake....

Umati mkubwa wa watu wakimsikiliza Mlangila Justin Lambart
Mlangila Justin Lambart akitoa neno...


Eneo la Makaburi,Misa ya kubariki Makaburi ikiongozwa na Baba Askofu Kilaini
Misa ya kubariki Makaburi
Askofu Msaidizi wa Jimbo katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini akibariki Makaburi.
Muendelezo wa matukio ya picha eneo la makaburi
Endelea kupumzika kwa Amani mzee wetu Omulangila Lambert Lwembeo

Utaratibu wa kupata huduma safi ya Chakula kilichoandaliwa.
Utaratibu wa kupata chakula ukiendelea kwa watu wote...
Wakati Baba Askofu Desiderius Rwoma akiondoka mahali hapa
Taswira mbambali wakati hafla ikiendelea mara baada ya Misa ya Shukrani
Muendelezo wa matukio ya picha.....
Burudani ikiendelea kuchukua Kasi...
Burudani ya Kasimbo kutoka Ngote Muleba ikiendelea kuchukua kasi..
Muendelezo wa matukio ya picha kutoka Kijijini Bugandika...
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Neno la shukrani kwa niaba ya familia likitolewa na Ndugu

Christopher Chichi Nyamwihula
Kaka Christopher Chichi Nyamwihula akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia ya Mlangila Justin Lambart.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045

 

 

 
 
Next Post Previous Post
Bukobawadau