Bukobawadau

Maandamano ya Zafa kuadhimisha kwa Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) Mjini Bukoba

Mheshimiwa Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Ally jana aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) kitaifa yaliofanyika katika Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba .

Viongozi mbalimbali na wananchi waliohudhuria katika Maulid hayo alikuwepo Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Wakili Stephen Byabato Mbunge Bukoba Mjini ,Mkurugenzi Mtendaji wa Bank ya CRDB Abdulmajid Nsekela na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salim Mwalimu na viongozi wengine wa Chama na Serikali.
Mufti Wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir na Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta wakiwa katika Maandamano ya kuadhilishi Siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) wakipita katika barabara mbalimbali za mji wa Bukoba
 
Sheikh Yusuph Kakwekwe na Hajji Abubakari Sued wakiwa katika Maandamano ya kuadhilishi Siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) wakipita katika barabara mbalimbali za mji wa Bukoba

Waumini wa Dini ya Kiislama wakiwa katika Maandamano ya kuadhilishi Siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) mji wa Bukoba 

 

   Maandamano yakiendelea mitaa mbalimbali ya mji wa Bukoba.
Wauminiwakiwa katika maandamano ya Zafa kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) kuelekea katika viwanja Kaitaba Mjini Bukoba
 

 


 
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau