Bukobawadau

UMATI WAMLILIA MCHUNGAJI ALFRED GABAGAMBI :Vilio ,huzuni na Simanzi vyatawala !!


Vilio huzuni na Simanzi vyatawala  Mazishi ya Mchungaji Alfred Gabagambi yaliyofanyika siku ya Alhamisi Jan 13,2022 Nyumbani kwake Nyakahanga Karagwe na kuhudhuriwa na Idadi kubwa ya Viongozi wa Kidini na watu mashuhuri.

Mazishi ya Mchungaji Alfred Gabagambi yalihudhuriwa na Idadi kubwa ya Wachungaji,maaskofu wawili, watumishi, viongozi wa serikali na wa Vyama na wananchi wa mikoa ya Kagera,Mara na Mwanza na wageni kutoka nchi za Uganda na Burundi.
Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi likielekezwa Ukumbini tayari kwa ajili ya Ibada takatifu ya Mazishi yake yaliofanyika Jan 13,2022 Nyumbani kwake Kijijini Nyakahanga Karagwe Mkoani Kagera.
Muonekano wa Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi.
Waombolezaji wakiwa tayari kwa ajili ya Ibada  takatifu ya Mazishi ya Mchungaji Alfred Gabagambi yaliofanyika Jan 13,2022 Nyumbani kwake Kijijini Nyakahanga Karagwe Mkoani Kagera.
Sehemu yaUmati  wa Waombolezaji wakiwa wamehudhuria Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi
Mwanzo wa Ibada takatifu maumbi yakitolewa na Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Benson Bagonza
Watoto wa Mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi wakiwa wameungana na Waombolezaji wengine katika Ibada takatifu ya Mazishi ya Baba yao Mzazi
Askofu wa Pentocostal akiongoza Ibada ya Mazishi ya mchungaji Alfred Gabagambi
Mazishi hayo yalihudhuriwa na Idadi kubwa ya Wachungaji ,maaskofu wawili, watumishi, viongozi wa serikali na wa Vyama na wananchi wa mikoa ya Kagera,Mara na Mwanza na wageni kutoka nchi za Uganda na Burundi.
Wanafamilia wakiwa katika Ibada
Wanakwaya Wakiwajibika kwa mapambio ya Kumsifu Bwana
Fuatilia mwanzo mwisho kupitia picha matukio yaliyojiri katika Mazishi ya Mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi
“Eeh Mwenyezi Mungu awatie nguvu familia hii ya Mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi
Muendelezo wa matukio ya picha kupitia Bukobawadau...
Taswira mbalimbali Waombolezaji,Ndugu jamaa wa karibu na familia wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.
Muendelezo wa matukio kulingana na ratiba nzima ya Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi Jan 13,2022
Wasifu wa Marehemu Mzee wetu,Mchungaji Alfred Gabagambi ukisomwa na Mwanae Shedrack Gabagambi.
Taswira mbalimbali wakati ratiba ikiendelea...
Utaratibu wa kutoa Salaam za rambirambi ukiendelea..
Salaam za rambirambi kwa niaba ya Watoto wa Marehemu ambao hawakuweza kushiriki Mazishi ya Baba yao kwa sababu zisizo zisizozuilika.
Pichani ni baadhi ya Wajukuu wa mpendwa wetu Mchungaji Gabagambi
Wajukuu wa Mzee Wetu Mchungaji wakitoa Zawadi kitendo cha (kushura kwa Wazazi wao)
Picha zote na Bukobawadau 0754 505043.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali...
Marafiki wa familia wakiwafariji wafiwa mara baada ya Salaam za rambirambi
Idara mbalimbali,Makanisa kadhaa
Mchungaji Bililiza akitoa Salaam za rambirambi
Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe pichani akifuatilia kinachojiri
Muendelezo wa matukio ya picha
Askofu
pentecostal anahitimisha kwa kutoa muongozo wa kutoa heshima za mwisho kwa Mpendwa wetu/Mtumishi wa Bwana Mchungaji Alfred Gabagambi.
Heshima za mwisho wa Mzee wetu Mchungaji Alfred Gabagambi

Pata kwa mkhutasari sehemu tu ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho...
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho Ukiendelea..
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Wilayani Karagwe wamehudhuria mazishi hayo..
Muendelezo wa matukio wakati zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea kuaga mwili wa Mchungaji Alfred Gabagambi....
Muendlezo wa matukio ya picha
Watoto wa kuzaliwa na Mchungaji Alfred Gabagambi wakitoa heshima zao za mwisho
Poleni Sana ndugu muwe na Subira kufuatia msiba huu mkubwa..
Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea kwa Wachungaji wote...
Ni mtiriko wa matukio Mwanzo mwisho Mazishi ya mpendwa wetu Mchungaji Alfred Gabagambi...
Mkusanyiko wa Wachungaji na Maaskofu wakati wa kutoa sala ya mwisho  kabla ya kuelekea makaburini.
Sala ya Mwisho ikiongozwa na Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Benson Bagonz
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha 
Nenda Baba mchungaji....Tutaonana badae..!
Mwili wa mpendwa wetu Baba yetu,Mwalimu wetu,Mlezi na Mshauri wa wengi Mchungaji Alfred Gabagambi ukipumzishwa   katika nyumba yake ya milele Wilayani Karagwe katika Mkoa wa Kagera Jan 13,2022.
"Mwenyezi Mungu ampe pumziko na ailaze roho ya marehemu Mch.Alfred Gabagambi mahali pema peponi. Ameen,"
Hivyo ndivyo hali ilivyokuwa wakati Jeneza likiingizwa Kaburini
Safari ya mwisho ya baba yetu Mch. Alfred Gabagambi, Tutakukumbuka daima Mzee wetu...
Watoto wa Baba yetu Mchungaji Alfred Gabagambi mara baada ya kuweka shada la maua..
Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea...
Waka mwana wa familia hii wakiweka Shada la maua...
Hakika tukio ni kubwa na matukio ni mengi nasi hatuna budi kufikia ukomo mpaka hapa.....Nenda Salama Baba yetu,Tangulia mchungaji tutaonana badae!!
...Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Sasa Bukobawadau  tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na Video kwenye matukio mbalimbali hii ni huduma kutoka kwetu Siku zote @bukobawadau .




 







 

Next Post Previous Post
Bukobawadau