Bukobawadau

VILIO NA SIMANZI MAZISHI YA FAUSTINA LAMBERT RWEIMBAO

Mazishi ya mpendwa wetu Faustina Lambert Rweimbao yaliofanyika Nyumbani kwao Kijijini Bugandika Bukoba na kuongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhasahamu Desderius Rwoma pamoja na  Askofu Methodius Kilaini Askofu msaidizi wa jimbo Katoliki la Bukoba na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa Waombolezaji

Sehemu yaWanafamilia ya Marehemu Mzee Lambert Rweimbaoi wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya mpendwa wao Faustina Rweimbao.

Mlangila Charles  Rutinwa na Mama yake pichani wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi hayo
Baadhi ya watu maarufu na marafiki wa familia wameweza kuhudhuria mazishi ya Mpendwa Faustina Lambert Rweimbao.
Wanakwaya wakiwajibika kwa nyimbo za kumsifu Bwana...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhasahamu Desderius Rwom akiongoza Mazishi ya mpendwa wetu Faustina Lambrt Rweimbao
Muendelezo wa matukio ya picha Ibada ikiwa inaendelea..
Mlangila Justin Lambert Rweimbao na mke wake wakitoa heshima zao za mwisho kuaga Mwili wa Mpendwa Faustina Lambert Rweimbao
Ndugu wa marehemu wakitoa heshima zao za mwisho
Mtoto wa kuzaliwa na Mpendwa wtu Faustina Lambert akitoa heshima zake za mwisho
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhasahamu Desderius Rwoma katika last respect
Mapadre wakitoa heshima za mwisho ,Mwile wa Faustina Lambert Rweimbao.
Mapadre wakiendelea kutoa heshima za mwisho,Mwili wa mpendwa wetu Faustina Lambert Rweimbao
Watawa wakitoa heshima zao za  mwisho.
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho,Mwili wa mpendwa wetu Faustina Lambert Rweimbao
aombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho,Mwili wa mpendwa wetu Faustina Lambert Rweimbao
Tumempumzishakatika makazi yake ya milele Bi Faustina Lambert Rweimbao baada ya safari yake hapa Dunia kumalizika,Mazishi yamefanyika Nyumbani kwao Kijijini Bugandika
Muendelezo wa matukio ya picha utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiwa unaendela..
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea..
Mzee Majid Kichwabuta akitoa heshima za mwisho
Mlangila Optay Henry (kushoto) Mze Alhaji Salum Muhamed Al-Suqry (Mawingo) na Mulangila Deo Rugaibula wakitoa heshima za mwisho mwili wa mpendwa wetu Faustina Lambert
Mzee Rashid Othman akitoa heshima zake za mwisho ,kuaga mwili wa mpendwa Dada Faustina Lambert.
Mzee Rashid Othman  mara baada ya kutoa heshima zake za mwisho
Muendelezo wa matukio ya picha
Mlangila Justin Lambert akitoa historia fupi ya kifo cha Dada yake mpendwa Faustina Lambrt Rweimbao
Eneo la makaburi kwa ajili ya kumstiri mpendwa Faustin Lambert
Waombolezaji na Viongozi wa Dini walkiwa eneo la makaburi

Mlangila Justin Lambert na mke wake wakiwa eneo la kaburi kwa ajili ya mazishi ya mpendwa wao Faustina Lambert

Ndugu wa marehemu wakiweka shada ya maua

Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea

Wakiweka shada kwenye kaburi la Shangazi yao...


Mashada ya maua utaratibu ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali.

Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu

Wadau wakicheck na camera yetu mara baada ya mazishi

Kaka Chichi Nyamwihura na Adv Protas Ishengoma

Marehemu Faustina Lambert Rweimbao pichani enzi za uhai wake

Mlangira Justin Lambert akitoa neno la shukrani

Matukio ya picha mara baada ya mazishi...

Hivi Ndivyo Ilivyokuwa Safari ya Mwisho ya Maisha ya mpendwa Wetu Faustina Lambert Rweimbao
Dada Murungi Badru Kichwabuta akiwa ameungana na waombolezaji wengin

Bi Willielmina Balyagati akiteta jambo na Mtwale Bocko.
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu

Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Prof.Faustine Kamuzola (kulia) akimfariji Mlangila Lambert Lweimbao kufutia msiba wa Dada yake mpendwa Faustina Lweimbao Kijijini Bugandika Bukoba
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Prof.Faustine Kamuzola (katikati ) akiwafariji wafiwa.
Mtaalam Jamal Jamco akifatilia utaratibu kama mratibu mipango

Picha ya kumbukumbu katika kaburi la mpendwa wtu Bi Faustina Lambert Rweimbao
Wajukuu wa familia ya Mlangila Lambert Rweimbao kwa pamoja wakiwa eneo la kaburi kwa ajili ya picha ya kumbukumbu
Hapa ndipo tulipompumzisha katika makazi yake ya milele Bi Faustina Lambert Rweimbao baada ya safari yake hapa Dunia kumalizika,Mazishi yamefanyika Nyumbani kwao Kijijini Bugandika-Bukoba
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajiri ya kumbukumbu
Mwisho Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Wanyaluganda wote kwa ujumla kwa msiba huu mzito. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya Mpndwa Wetu Faustina Lambert Mahala pema peponi.
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Pia tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe mbalimbali hii ni Huduma kutoka kwetu Siku zote @bukobawadau







Next Post Previous Post
Bukobawadau