Bukobawadau

MISA YA MATANGA YA MPENDWA AMELIA UPENDO NJUNWA


Nduyu jamaa na marafiki wameungana na Familia ya Marehemu HermanNjunwa katika Ibada ya  Misa ya Matanga ya Dada yao mpendwa Amlia Upendo Njunwa.Mapema kabla ya Misa wanafamilia wakipata picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu


Babu na Wajukuu zake pichaniNjunwas family katika picha ya pamoja katika Kaburi la mpendwa Baba yao...
Kaka Harlod Baruti,Badru Kichwabuta na Abdul Rahim Kabyemela marafiki wa familia hiii.Huduma ya Chakula na Vinjwaji ikiendelea...


Kaka Badru Kichwabuta na Bi Jovitha Njunwa katika picha ya pamoja

Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau