Bukobawadau

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha Mkoani Pwani

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisogeza kitambaa kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Shule ya uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha Mkoani Pwani  leo tarehe 23 Februari, 2022

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Vyama vya Siasa kutoka nchi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere  Kibaha Mkoani Pwani  leo tarehe 23 Februari, 2022 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisogeza kitambaa kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Shule cha Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha Mkoani Pwani  leo tarehe 23 Februari, 2022.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mratibu wa mradi wa Chuo Bi. Emmanuela Kaganda kuhusu maeneo mbalimbali ya ndani ya Shule hiyo Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha Mkoani Pwani mara baada ya ufunguzi wake leo tarehe 23 Februari, 2022

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea kukagua maeneo mbalimbali ya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha Mkoani Pwani mara baada ya kukifungua rasmi leo tarehe 23 Februari, 2022
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea kukagua maeneo mbalimbali ya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha Mkoani Pwani mara baada ya kukifungua rasmi leo tarehe 23 Februari, 2022.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimkabidhi Cheti cha mafunzo ya muda mfupi Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Wilson Mukama katika sherehe za ufunguzi wa  Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 23 Februari, 2022.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi, Wananchama wa CCM pamoja na Wananchi wa mkoa wa Pwani mara baada ya kufungua Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha Mkoani Pwani leo tarehe 23 Februari, 2022

Next Post Previous Post
Bukobawadau