Bukobawadau

TUNATAMBULISHA KWAKO KAMPUNI YA JOLYN EVENTS MKOANI KAGERA

Leo tunatambulisha kwako Kampuni ya Julyn Events inayozihusisha na kutoa huduma mbalimbali  katika Shughuli za Kidini, Mazishi ,Harusi,Shughuli za Kiserikali ,Michezo na chochote kinacho kinachohusiana na events kwa gharama nafuu kuliko wengine wote.
Ofisi zao zipo katika Jengo la Posta Bukoba Mkabala na Shule ya Bukoba Sekondari
Jolyn Events wanatoa huduma ya Gari la kisasa la kubebea miili ya marehemu,Mashine ya kisasa ya kushusha Mwili Kaburini  pia Kuscan Picha ya Marehemu kwenye Kigae au Kioo.
Muonekano wa Mashine ya Kushusha Mwili
 
Jolyn Events Mawasiliano 0719859775 /0764 884 152 pichani ni Muonekano wa Mashine ya Kushusha Mwili
Jolyn Events We Care The Best Call 0719859775 /0764 884 152
Bi Halima Kaemi pichani anatumia fursa hii kuwakaribisha Jolyn Events kwa huduma Bora kabisa
,Wapo katika Jengo la Posta Bukoba Mkabala na Shule ya Bukoba Sekondari  pichani ni
Mkurugenzi wa Jolyn Events Joas Rwegoshora akitoa neno kwa wageni waliohudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampuni hiyo uliofanyika Viwanja vya Posta Bukoba tarehe 23 April,2022 .
Ukataji wa Keki hafla ya Uzinduzi Jolyn Events
uliofanyika Viwanja vya Posta Bukoba tarehe 23 April,2022 .
Utambulisho ukiendelea kutoka kwa Mkurugenzi Jolyn Events,
Jolyn Events Joas Rwegoshora
Msanii Mahiri Afsa Kazinja akipamba Uzinduzi wa Jolyn Events
Mwalimu Bube akifurahi Vionjo vya Msanii Afsa Kazinja wakati wa hafla ya Uzinduzi Wa Jolyn Events
Meneja Wa Kampuni ya Jolyn Events Best Julius  akiainisha huduma kutoka kwao kuwa ni pamoja na
Mahema (Tents), Viti ,Mazuria  Meza, Gari na Mashini ya Mwili ,Upambaji pia wanazo Mobile toilet.
Waalikwa wakiwa katika hali ya Usikivu wakati mkurugenzi wa Jolyn Events akitoa neno.
Waalikwa wakiwa katika hali ya Usikivu wakati mkurugenzi wa Jolyn Events akitoa neno.
Ndugu Hafidh pichani
Taswira mbalimbali Viwanja vya Posta zilipo Ofisi za Jolyn Events.
Karibu Jolyn Events Kagera.
Mwisho
Karibu Bukobawadau kwa Offer kabambe ya coverage ya Picha na Video kwenye sherehe mbalimbali 0754505043


 

Next Post Previous Post
Bukobawadau