Bukobawadau

PICHA MAPOKEZI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU ELTON MUJUNI NJUMBA

....Mamia ya Waombolezaji wameungana na Familia ya Mulangila Michael Njumba kumpumzisha Mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba katika nyumba yake ya milele,Nyumbani kwao Kijijini Kikukwe Kanyigo Wilayani Missenyi.

Tunamuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja wanafamilia.

Familia ya Mulangila Michael Njumba wa Kanyigo (Kikukwe) Bukoba inayo heshima kubwa kutoa shukrani za dhati kabisa kwa ndugu, jamaa na marafiki ambao walishiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha msiba na mazishi ya Mtoto wao Elton Mujuni Njumba aliyefariki dunia siku ya alhamisi 28/4/2022 Jijini Dar na kuzikwa Nyumbani kwa familia Kikubwe -Kanyigo Wilayani Missenyi Siku ya Jumatano Tar 4/5/2022
Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba.
Waombolezaji wakiwa nje wa Uwanja wa Ndege Bukoba tayari kwa mapokezi ya mwili wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba.

Waombolezaji wakiwa nje wa Uwanja wa Ndege kusubuli  mwili wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba.
Mapokezi Mwili wa Mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba.pichani Bwana Alex na Divo Rugaibula wakibadilishana mawazo
Mulangila Tono Rugaibula akiwasili Mjini Bukoba
Baadhi ya waombolezaji wakati wa mapokezi ya mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba
Taswira mbalimbali kupitia picha nje ya Uwanja wa Ndege Bukoba
Taswira uwanja wa Ndege Mjini Bukoba wakati mwili wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba ukiwasili.
Mtumishi Jayles Kataraia akisalimiana na Kaka Harlod Baruti
Kaka Honest Mushobozi anaonekana katika hali ya huzuni na simanzi kufuatia Msiba huu wa Elton Mujuni Njumba
Kaka Edwin Kai katika simanzi kubwa msiba wa mpendwa wetu marehemu Elton Mujuni Njumba
Muendelezo wa matukio ya picha Mapokezi mwili wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba,Uwanja wa Ndege Bukoba.
Kaka Raymond (Ray) akisalimiana na Dada Agness.
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba likiwasili mjini Bukoba na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) majira ya saa sita mchana May 3,2022.
Dada  Agnes mratibu wa Kamati ya mazishi ya Mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba akiakikisha kila kitu kinakwnda kama kilivyopangwa.
Msafara kuelekea Kijijini Kikukwe Kanyigo nyumbani kwa familia ya Mzee wetu Mulangila Michael Njumba

Set up  Meza ya kusaini kitabu cha maombolezo Msiba wa Elton Mujuni Njumba,Nyumbani kijijini Kikukwe Kanyigo
Muendelezo wa matukio ya picha muda mchache kabla ya Ibada ya Mazishi..
Muonekano wa Sehemu ilipofanyika Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu Elton Mujuni Nyumba,Kazi nzuri ya mapambo na mpangilio wa eneo na Vai Events Bukoba 
Musibani Kikukwe Kanyigo
Mulangila Michael Njumba pichani kushoto Baba mzazi wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba
Kushoto pichani ni Mulangila Michael Njumba na Mtumishi Jayles Kataraia katika picha ya kumbukumbu kwenye Jneza lenye mwili wa mpendwa wao Elton Mujuni Kataraia
Dokta  Muganyizi Kairuki pichani kushoto akiwa ameungana na familia ya mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba
Mapambo na VAI EVENTS  wanapatikana Mimbeni Bukoba 0764302621
Wanafamilia katika Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Pole sana Ndg yetu Mujuni Makubo kwa kuondokewa na rafiki yetu mpendwa Elton Mujuni Njumba.
Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wote waliofikwa na Msiba huu.
Muendelezo wa matukio ya picha
Muendelezo wa matukio ya picha muda mchache kabla ya Ibada ya Mazishi ya Mpendwa wetu marehemu Elton Mujuni Njumba
Pamela Njumba na Erick Njumba katika picha ya pamoja na Baba yao mzazi Mulangila Michael Njumba wa Kanyigo
Mulangila Michael Njumba pichani kushoto Kaka Alex Mutiganzi (Katikati) na Pamela Njumba katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu.
Familia ya Mulangila Michael Njumba wa Kanyigo katika picha ya pamoja
Makundi Mbalimbali yakiendelea kutoa salaam za rambirambi

Muendelezo wa matukio ya picha

Muendelezo wa matukio ya picha

Nenda Salama Elton Mujuni Njumba
Bibi Gisela Kente pichani akitoa heshima zake za  mwisho kwa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba
Mchungaji akitoa heshima zake za mwisho,Mwili wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea...
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zake za mwisho kuuaga mwili wa marehemu katika Elton Mujuni Njumba
Karibu Bukobawadau kwa Offer kabambe ya coverage ya Picha na Video kwenye sherehe mbalimbali 0754505043

Mchungaji akiendelea kuongoza Ibada ya mazishi ya Marehemu Elton Njumba
Ibada ya mazishi ikiwa inaendelea
Mulangila Deo Rugaibula akiwa ameungana na wanafamilia katika Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba

Kaka Mujuni Makubo pichani...
Ni majonzi makubwa ,Safari ya mwisho wa mpendwa wetu Elton Mujuni Njumba
Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu,” amesema ... Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi, Amina.

Poleni Sana Wafiwa Nyote Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu,” amesema ... Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi, Amina.
Mzee Njumba akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Mwanae Elton Mujuni Njumba
Ndugu wa marehemu Elton Njumba wakiwa shada la maua
Familia ya Honest Mushobozi wakiweka Shada la maua
Alex Mtiganzi wakiweka Shada la maua kwenye kaburi la mpendwa Elton Mujuni Njumba
Mlangila Honno Rugaibula akiweka shada la maua
Eneo la Makaburi Ibada ya Mazishi ikiwa inaendelea...
Utaratibu wa kuweka mashada ukiwa unaendela
Wanafamilia wakiendelea kuweka mashada kwenye kaburi kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Karibu Bukobawadau kwa Offer kabambe ya coverage ya Picha na Video kwenye sherehe mbalimbali 0754505043


Next Post Previous Post
Bukobawadau