Bukobawadau

FAMILIA YA MAREHEMU RODGER KYARUZI WASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MPENDWA WAO NYUMBANI BUKOBA

Wakati Mwili wa Rogers Rwenduru Kyaruzi, mtanzania aliyeuawa na polisi nchini Marekani, ukizishwa jioni ya Jana May 21,2022 huko Georgia USA nasi tumeungana na baadhi ya ndugu wanafamilia kushiriki Ibada ya mpendwa Rodger Kyaruzi Nyumbani mtaa wa Binshwi Kata Nshambya - Manispaa ya Bukoba.
Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada hiyo iliyoongozwa na Padre Henry Kempanju Paroko Msaidizi wa Kanisa  Kasherero Jimbo katoliki la Bukoba.
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Mpendwa Rodger Kyaruzi.
Muendelezo wa matukio ya picha.
Mama Edgar Kyaruzi akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpndwa mme wake kama Ishara ya kumbukumbu.
Padre
Padre Henry Kempanju akinyunyuzia maji  katika makaburi
Bukobawadau tunamuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja wanafamilia ya mpendwa wetu Rodger Kyaruzi

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau