Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama
pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin
Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa katika mapokezi Rasmi
yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12
Juni, 2022.

Juni, 2022. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha
ya pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Oman Haitham
bin Tariq Al Said kabla ya kuanza mazungumzo yaliyofanyika Kasri ya Al Alam Muscat
nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
viongozi mbalimbali wa Serikali ya Oman mara baada ya kuwasili Kasri ya Al Alam
Muscat nchini humo tarehe 12 Juni, 2022. Kikosi
cha Jeshi la Oman kikiwasili katika viwanja vya Kasri ya Al Alam kwa ajili ya
Mapokezi Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022. Kikosi
cha Jeshi la Oman kikiwasili katika viwanja vya Kasri ya Al Alam kwa ajili ya
Mapokezi Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022. PICHA NA IKULU