Bukobawadau

UZINDUZI WA TAWI JIPYA BANK YA TCB MJINI BUKOBA


Tanzania Commercial Bank imeendelea na juhudi zake za kuendelea kutanua huduma zake kwa kufungua matawi katika mikoa mbalimbali hapa nchini ili kuhakikisha kila mtanzania anaitumia Tanzania Commercial Bank.

Benki hiyo imetimiza haja yake hiyo kupitia huduma zake mbalimbali katika kuigusa jamii kwa kufungua tawi jipya katika mkoa wa Kagera Mjini Bukoba katika hafla fupi iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Ndugu Moses Machali
Mkuu wa Mkoa wa Kagera , akiwa tayari kukata  utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi jipya la Bukoba lililofunguliwa July 1,2022 Mjini Bukoba  kulia ni  ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi.

Mkuu wa Mkoa wa Bukoba , akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi jipya la Bukoba lililofunguliwa July 1,2022 Mjini Bukoba , Kushoto  ni Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya Biashara (TCB) Bw. Henry Bwogi pamoja na   Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi pichani kulia
Mkoa wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Moses Machali (kushoto), pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi wakifungua pazia kwenye jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi jipya Mjini Bukoba July 1,2022.
Muonekano wa ndani  Tanzania  Commercial Bank Tawi la Bukoba Mjini.
Taswira ndani ya Bank hiyo Tawi la Bukoba 
Afisa Meneja Masoko wa Benki ya Biashara ya Tanzania TCB  Grolia Mutta akiweka mazingira sawa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tawi la Bukoba uliofanyika July1,2022 Mjini Bukoba
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Tawi jipya la benki hiyo Mjini Bukoba.
Samson Kayange Meneja wa Tanzania Commercial Bank tawi la Bukoba akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Tawi jipya la benki hiyo Mjini Bukoba July 1,2022.
Sehemu ya Wadau walioweza kuhudhuria hafla ya Ufunguzi wa Tanzania Commercial Bank tawi la Bukoba
Muendelezo wa matukio ya picha.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Tanzania Commercial Bank 
Grolia Mutta Afisa Meneja Masoko wa Benki ya Biashara ya Tanzania TCB akipata picha maalum ya kumbukumbu Uzinduzi Tawi la Benki hiyo mjini Bukoba.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi,akikabidhi zawadi kwa Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh.Moses Machali
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi,akikabidhi zawadi ya Saa kwa Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh.Moses Machali
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi,akikabidhi zawadi kwa Katibu Tawala wa wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera, Kadole Kilugala.

Katika picha ya Wafanyakazi wa Tanzania Commercial Bank na Viongozi wao.
Viongozi wa Kidini katika picha ya pamoja na Viongozi wa Tanzania Commercial Bank
Wadau wa Tanzania Commercial Bank katika picha ya pamoja na Viongozi wa Banki hiyo
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Meneja Uendeshaji Benki ya Biashara Tanzania (TCB) Tawi la Bukoba. Amani Nassari pichani.
Ben Bazar Mmoja wa wafanyabiashara Mjini Bukoba katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya Biashara (TCB) Bw. Henry Bwogi pamoja Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi
Dr Remmy mmoja wa wafanyabiashara akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Tawi la (TCB) Bukoba 


 

Next Post Previous Post
Bukobawadau