Ziara ya Rais Hichilema wa Zambia Nchini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema aliyekuwa akimuelezea
kuhusu zawadi ya picha aliyompatia Mhe. Rais Samia katika ziara yake ya siku
moja nchini kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02
Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari katika ziara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.