KINANA AWAPONGEZA GLOBAL AGENCY FARM LIMITED KWA UZALISHAJI WA MBEGU BORA ZA KIMKAKATI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu za mazao la Global Agency Farm Limited lililopo Buchurago Bugorora Wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera na kutoa pongezi kwa mwekezaji Global Agency Limited kwa kuzalisha mbegu bora za mazao
Ameyasema hayo akiwa katika Ziara yake mkoani Kagera Wilaya ya Missenyi katika Kijiji ya Buchurago kata Bugorora Sept 3,2022 alipotembelea shamba hilolenye hekari 21,000 Elfu linalohusika na kuzalisha mbegu za nahindi aina ya 5c627, Maharage Soya na Ngano.
Alisema Chama Cha mapinduzi kupitia serikali yake kinawaunga mkono uwekezaji wenye kuwakomboa Wanzania kwa kuwapunguzia gharama za Mbegu inayotokana na tatizo la uagizaji mbegu kutoka Nje ya nchi.
Alisema shamba Hilo kinauwezo wa kuzalisha mbengu haina Tofauti Tofauti Tani 17,000 na tangu aanze uwekezaji wa kilimo vijana zaidi ya 300 wanapata ajira Kipaumbele ikiwa Ni vijana waliyomaliza Vyuo vya kilimo na wamerudi kijijini bila ajira hao wanapata ajira ya kudumu.
Joshua Roche ambaye ni Meneja wa Shamba la mbegu la Global Agency Farm Limited akitolea jambo ufafanuzi kwa Kanali Mstaafu Kinana wakati akishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
Meneja wa Shamba la mbegu la Global Agency Farm Limited Joshua Roche,Mkurugenzi wa Shamba la Global Agency Farma Fidelis Bashasha pichani kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Kagera (RC), Albert Chalamila wakiongozana na
Kanali Mstaafu Kinana wakati akishuhudia shughuli mbalimbali
zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji
wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
Muonekano wa Mashamba ya Mwekezaji lobal Agency Limited yaliyopo Kijiji cha Buchurago Kata Bugorora Wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera
Muonekano wa Mashamba ya Mwekezaji lobal Agency Limited yaliyopo Kijiji cha Buchurago Kata Bugorora Wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
Muonekano wa Mashamba ya Mwekezaji lobal Agency Limited yaliyopo Kijiji cha Buchurago Kata Bugorora Wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman akiwa na
viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya
CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka , Mkuu wa Mkoa wa Kagera,
Albert Chalamila,Mbunge wa jimbo la Nkenge Frolent Kyombo wakiwa
wamepanda kwenye mtambo maalum unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka , Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila,Mbunge wa jimbo la Nkenge Frolent Kyombo wakiwa wamepanda kwenye mtambo maalum unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo
Kanali Mstaafu Abdulrahman akiteta jambo na Ndugu Aman Kajuna kata mtiifu wa chama cha mapinduzi
Winfrida Bashasha Mhasibu wa Shamba la uzalishaji mbegu za mazao la Global Agency Farm Limited lililopo Buchurago Bugorora Wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman KinanaAdv.Kamala akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman KinanaNdugu Rugaibula akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana

Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali
Mstaafu Abdulrahman Kinana ukiendelea kukagua shamba la mbegu za mazao la
Global Agency Farm Limited lililopo Buchurago Bugorora Wilayani Misenyi
Mkoa wa Kagera.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali
Mstaafu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Mnec Kagera Ndugu Wilbroad Mutabuzi
Ugaguzi wa shamba ukiwa unaendelea Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa na
viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya
CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ,Mzee Adala , Mkuu wa Mkoa wa Kagera,
Albert Chalamila,Mbunge wa jimbo la Nkenge Frolent Kyombo wakiwa
wamepanda kwenye mtambo maalum unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo
Muendelezo wa matukio ya picha wakatiMbegu za Mahindi kutoka shamba la mbegu la Global Agency Farm Limited
Taswira mbalimbala ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana kutembelea shamba la Global Agency Farm
....