Bukobawadau

IBADA YA MATANGA YA MPENDWA WETU MA CORONELIA FRANSISCO

Familia ya Marehemu Mzee John Kashambya wa Kashura Bukoba leo Jumamosi Oct 15.2022 Wamengana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada takatifu ya kuanua Matanga ya Mama yao Mpendwa Ma Coronelia Fransisco.
Mwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko la amani.
Padre akiendelea kuongoza Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu
Ma Coronelia Fransisco.
Neno la Bwana likisomwa wakati wa Ibada maalum ya kuanua matanga ya mama yetu mpendwa Ma Coronelia Fransisco.

Wanakwaya wakiwajibika kwa nyimbo za kumsifu Bwana,katika
Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Ma Coronelia Fransisco iliyofanyika leo Jumamosi Oct 15,2022 Nyumbani kwa familia maeneo ya Kashura Bukoba.
Wanakwaya wakiwajibika kwa nyimbo za kumsifu Bwana,katika Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Ma Coronelia Fransisco iliyofanyika leo Jumamosi Oct 15,2022 Nyumbani kwa familia maeneo ya Kashura Bukoba.
Muonekano wa makaburi ya wapendwa walikwisha tangulia mbele ya haki
Ndugu jamaa na marafiki wa familia wakiendelea kushiriki Ibada
Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Ma Coronelia Fransisco
Muonekano wa Nyumba maalum iliyojengewa makaburi ya wapendwa wetu,Mwenyezi Mungu aendelee kuwapimzisha kwa Amani.
Taswira mbalimbali wakati Ibada inaendelea..
Muendelezo wa matukio ya picha wakati wa matoleo kwa wanafamilia...
Muendelezo wa matukio ya picha 

Wanafamilia kwa pamoja katika Ibada maalum eneo la makaburi ya wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki

Marafiki wa familia pichani katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu...
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu
Mwalimu Georgi akiwa ameungana na familia ya Mpendwa wetu Ma Coronelia Fransisco
Marafiki katika picha ya pamoja ni Be Veronica na Bi Eve.
.BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043.
    Bukobawadau tunamuombea kwa Mungu aendelee kumpa pumziko jema mpendwa wetu ,Mama yetu Ma Coronelia Fransicso.

Next Post Previous Post
Bukobawadau