Bukobawadau

MAHAFALI YA 8 KIDATO CHA NNE 2022 SHULE YA WASICHANA JOSIAH YAFANA SANA

Askofu Jackson Mushendwa wa Dayosisi teule ya Magharibi (Kigoma),ambaye ndiye Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 8 ya Kidato cha nne Shule ya Wasichana Josiah akitoa neno

Mgeni Rasmi Askofu Jackson Mushendwa wa Dayosisi teule ya Magharibi (Kigoma) akiongoza msafara wa wahitimu wa Kidato cha Nne 2022,Shule ya Wasichana Josiah

Muonekano wa sehemu ya majengo ya shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah 
Wahitimu wa Kidato Nne 2022 Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah akitoa utambulisha.

Burudani zikiendelea Mahafali ya 8 Kidato cha Nne Shule ya Wasichana Josiah....
Muendelezo wa matukio ya picha

... 

Next Post Previous Post
Bukobawadau