Bukobawadau

MAPAMBO YA KIFAHARI NA VAI EVENTS BUKOBA #0713883020

Vai Events ni mjasiliamali ambaye amebahatika kuwa na kipaji kikubwa Sana kwenye masuala mapambo.Yaani uwezo wake kwenye mapambo ya harusi na hafla maalum ni mkubwa mkubwa sana !!wasiliana nao  kwa namba 0713883020/0764302621 /0754505043
Mapambo kwenye sherehe ndio kitu kibwa kinacho toa tathimini ya upendezaji wa Shughuli yako. Kumbuka unaweza ukatumia gharama kubwa kwenye mapambo halafu mpambaji akapamba na pasipendeze kama inavyo takiwa kutokana na ubunifu wake kuwa mdogo.
Sasa hakuna kuhangaika tena Bukobawadau tunakujuza yule Mpambaji mahiri anaye kubalika Vai Events Bukoba mkazi wa Miembeni ambaye ni funga kazi akikupambia shughuli yako lazima ufurahi maana style za upambaji wake ni za kisasa zaidi. Vai Event wana meza nzuri na Viti vya kila aina ,Vai mtu wa kazi anajitambua Sana yuko makini, Mwaminifu pia anaheshimu kazi za watu!. Anapamba Harusi,Hafla maalum,Sendoff, Kitchen Party, Events, Misiba ,Kazi za Taasisi
Vai Event wana meza nzuri na Viti vya kila aina kwendana na hitaji la mteja na tukio lenyewe. Popote ulipo kama unahitaji huduma ya mapambo wasiliana nao  kwa namba 0713883020/0764302621 /0754 505043 kamwe huwezi kujutia
Mapambo ya msiba Vai Events ni funga kazi  
Picha hizi ni Sehemu ya kazi vya Vai Events ,Kapeti kama zote wasiliana nao  kwa namba 0713883020/0764302621 /0754 505043
Viti vya kila aina vipo  na wanakodisha kwa gharama nafuu  Wasiliana nao 0713883020/0764302621 /0754 505043
Vai Events ni kampuni tanzu ya Bukobawadau  wasiliana nao  kwa namba 0713883020/0764302621 /0754 505043
Kazi ikiendelea timu ya Vai Events ikiwajibika eneo la tukio kwa wakati na muda Sahihi #MapamboBukoba #VaiMapambo
\
Unahitaji Mapambo ya Kisasa na upo Bukoba?Unahitaji meza na viti kukodi na upo bukoba?Jibu ni  Vai Events Wasiliana nao  0713883020/0764302621 /0754 505043


Next Post Previous Post
Bukobawadau