Bukobawadau

FAMILIA YA MZEE FREDERICK MUTAFURWA KATIKA IBADA YA KUWAKUMBUKA WAPENDWA WAO

Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Leo Dec31,2022 ameungana na familia ya marehemu Mzee Frederick Mwelinde Mutafurwa Katika Ibada ya shukrani na kuwaombea wapendwa wao wote waliokwisha tangulia mbele ya haki.Waendelee kupumzika kwa Amani.

Muonekano wa eneo za mazabahu.

Padre Faustin Kamugisha. @faustinkamugisha8747akiwa tayari kwa ajili yakutoa mahubiri

Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba akiongoza Ibada iliyoandaliwa na familia ya Marehemu Mzee Frederick Mwelinde Mutafurwa kwa ajili ya kumshukuru Mungu na kuwaombea wapendwa wao wote walikwisha tangulia mbele ya haki
Neno la bwana likisomwa
Familia ya Mzee Muhazi wa Buganguzi wakiongozwa na Kaka Ermest Muhazi,Wameungana na familia ya Marehemu Mzee Frederick Mwelinde Mutafurwa katika Ibada maalum ya kuwakumbuka wapendwa wao.
Ibada ikiwa inaendelea
Familia ya Mzee Kabyemela nao wapo sambamba katika hili.
Endelea kufuatilia mpaka mwisho mtiririko mzima wa matukio.Picha zote na Bukobawadau,Mapambo na Vai Events.
Wanafamilia wakielekea kutoa matoleo.
Wanafamilia wakati wa kutoa matoleo....
Muonekano wa Makaburi yakiwa yamenakshiwa vyema na Mpambaji Vai Events Bukoba
Mzee Thadeo Mutafura akifuatilia kinajili...

Muendelezo wa matukio ya picha


Kaka mkubwa wa familia ya wapendwa wetu Mzee Fredeick  Mwelinde Mutafurwa na Bi Clatilda Kokulooza akitoa neno la shukrani.....

Mapadre wakiongozwa na Baba Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba katika eneo la makaburi kwa ajili ya kuwaombea wapendwa wetu...


Wanafamilia pamoja mapadre wakiongozwa na Baba
Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba wakiwa katika picha ya pamoja.

Kupanga ni kuchangua hivyo kama unahitaji kazi nzuri sana, safi sana, unique, classy kwa ajili ýa siku yako muhimu iwe; harusi, sendoff, mahari n.k wasiliana na  Vai Events wao ndiyo wakali wa hizi kazi, Wanaitwa #gamechanger  Mawasiliano 0764 302 621 /0713 883020.
Beatrice na Mama Mwijage pichani


Bi Beatrice Mwelinde Mutafura mbele ya makaburi ya wapendwa Baba na Mama yake Marehemu Mzee Fredeick  Mwelinde Mutafurwa na Bi Clatilda Kokulooza

Picha ya Juu muonekano wa Nyumba iliyopo Kijijinji Katale-
Mapadre na wanafamilia kwa ujumla wao katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu

Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba katika picha ya pamoja na Bi Beatrice Mwelinde na bintie.
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.
Bi Beatrice Mwelinde na Kijana wake mbele ya Camera yetu.
Wakuitwa Catherini Mutafura pichani
Ms Mutafura katika picha maalumu kwa ajili ya kumbukumbu mara baada ya matukio ya hali ya kuwaombea wapendwa wao

...Mwisho....


..

Next Post Previous Post
Bukobawadau