Bukobawadau

SIMANZI MAZISHI YA BINTI VANESA PIUS KIJIJINI GERA!

Vilio Simanzi na huzuni vilitawala wakati wa Mazishi ya Binti Vanesa Kokusimbisa Pius ,Mtoto wa Mwalimu Pius wa Gera wa pili pichani kutoka kushoto.
Simanzi kubwa wakati wa Ibada ya Mazishi ya Binti Vanesa Kokusimbisa Pius ,Mtoto wa Mwalimu Pius wa Gera wa pili pichani kutoka kushoto.
Muda mchache kabla ya Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Vanesa Pius
Wazazi wa Binti Vanesa (18) wanaonekana katika hali ya huzuni mkubwa.
Neno la Bwana likisomwa..

Padre akitoa mahuburi,Mazishi ya Vanesa Pius wa Gera Endelea kufuatilia mtiriko mzima wa matukio ya picha.
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa wamefika kushiriki mazishi hayo.

Umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa wamehudhuria mazishi ya mpendwa wetu Vanesa Pius
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa wamehudhuria mazishi ya mpendwa wetu Vanesa Pius

Utaratibu wa kutoa Salaam za rambirambi na ubani ukiendelea
Salaaam za rambirambi kutoka kwa Mh. Diwani Bitegeko wa kata Gera.
Salaaam za rambirambi kutoka makundi mbalimbali
Ni vilio na machozi wakati wa kutoa heshima za mwisho
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiwa unaendelea
Tukio lililotoa watu wengi machozi,Mtoto mdogo miezi 6 Wa marehemu Vanesa Pius wakati akitoa heshima za mwisho
Umeondoka mapema Mtoto wetu mpendwa. Ni pengo ambalo sio rahisi Maishani mwetu  kuzibika
Hakika ni huzuni mkubwa.

Taswira mbalimbali wakati ratiba ikiendelea..
Sehemu ya waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali waliofika kushiriki mazishi ya Binti Vanesa Pius (18)
Mlangira  Kataruga pichani...
Eneo la Kaburi Ibada ikiendelea
Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Vanesa likiingizwa kaburini.
Wazazi wa Vanesa wakiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wao
Picha kwa ajili ya kumbukumbu.
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Muonekano wa Kaburi la Mpendwa wetu Vanesa Kokusimbisa Pius
Majirani na marafiki wa familia ya Mwalimu Pius wakiwa wanabadilishana mawazo mara baada ya kumpumzisha mpendwa wetu Vanesa Kokusimbisa Pius.
Waombolezaji katika hili na lile mara baada ya Kumpumzisha mpendwa wetu.

Muendelezo wa matukio ya Picha


Next Post Previous Post
Bukobawadau