SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA KWA BANDARI KIJIJINI BUGANGUZI
Kama kawaida kwa kila mwisho wa mwaka Ndugu Frolence Bandari Mishana wa pili kutoka kulia pichani amekuwa na utaratibu wa kuandaa sherehe za kufunga mwaka nyumbani kwake Kijijini Buganguzi Wilaya Muleba ambapo hualika ndugu na marafiki zake na kusherekea kwa pamoja tukio lililotangulia na Ibada ya Shukrani na hafla ya kumpongeza Dada yake.Ndugu na marafiki wa familia katika picha ya pamoja
cha ya Pamoja ndugu wa familia ya Mzee Galiatano walipofika kijijini Bugangazi kumtembelea jamaa Mwebe@mishanabandari katia sherehe za kufunga mwaka.
Picha ya Juu Muonekano wa Nyumba ya Ndugu Florence Mwebe Bandari MishanaKamishna mstaafu Alfred Tibaigana akibadilishana mawazo na Mbalaza UWT Mkoa Kagera Regna Zachwa
Shangwe za hapa na pale kutoka kwa Mbunge wa jimbo la Muleba Oscar Kikoyo
Zawadi ya kamati ikikabidhiwa hii ni kutoka kwa Mwanadada Revina Angelo
Ndugu wa familia mara baada ya kupokea Keki yao
cha ya Pamoja ndugu wa familia ya Mzee Galiatano walipofika kijijini Bugangazi kumtembelea jamaa Mwebe@mishanabandari katia sherehe za kufunga mwaka.
Father Edson John Almasi katika picha ya pamoja na Kaka Theobard Theonest pichani kulia
Madiwani wanawake wa Halmashauri ya Wilaya Muleba wakiwa wamejumuika na familia ya Ma Chartina na Mwanae Florence Mwebe Bandari Mishana Kijijini Bunganguzi .
Katika hili na lile wakiteta jambo
Tupo na mtaalam Mwambi Rwihula akiwa ameongozana na mke wake.
Muendelezo wa matukio ya pichaMadiwani wanawake wa Halmashauri ya Wilaya Muleba wakiwa wamejumuika na familia ya Ma Chartina na Mwanae Florence Mwebe Bandari Mishana Kijijini Bunganguzi .
Katika hili na lile wakiteta jambo
Tupo na mtaalam Mwambi Rwihula akiwa ameongozana na mke wake.
Kaka Theobard na Andrew Peter Kato wakiwa sambamba na rafiki yao mwebe
Tukio lililotangulia na Misa Maalum ya kumshukuru Mungu Misa ikiongozwa na Fr.Edson John Almasi.
Tukio lililotangulia na Misa Maalum ya kumshukuru Mungu Misa ikiongozwa na Fr.Edson John Almasi.
Mbalaza/Mwakilishi UWT Mkoa Kagera Regna Zachwa akimpongeza Ma Chartina wakati wa hafla ya kumpongeza Binti wake Revina Angelo
Dada Revna Angelo kushoto ambaye hii ni sherehe yake ya kumpongeza toka ameolewa miaka kadhaa iliyopita.Wakati anaingia ukumbini pichani ni Dada Revna Angelo mwenye sherehe a yake ya kumpongeza toka ameolewa miaka kadhaa iliyopita.Picha ya Juu Muonekano wa Nyumba ya Ndugu Florence Mwebe Bandari MishanaKamishna mstaafu Alfred Tibaigana akibadilishana mawazo na Mbalaza UWT Mkoa Kagera Regna Zachwa
Shangwe za hapa na pale kutoka kwa Mbunge wa jimbo la Muleba Oscar Kikoyo
Zawadi ya kamati ikikabidhiwa hii ni kutoka kwa Mwanadada Revina Angelo
Ndugu wa familia mara baada ya kupokea Keki yao