Bukobawadau

IN LOVING MEMORY OF OMULANGIRA JAMES KIKENYA

Matukio picha Katika Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Omulangira James Kikenyayu iliyoongozwa na Mhashamu Ask. Method Kilaini, Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Bukoba iliyofanyika Nyumbani kwa familia Kijijini Kyazi -Kitobo Wilayani Missenye.
Dada Jacklin Kikenya akitoa neno la Shukrani

Maandamano kutoka Ndani ya Nyumba mpya iliyozinduliwa na Mhashamu Ask. Method Kilaini, Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Bukoba.
Muonekano wa Nyumba mpya iliyozinduliwa na 
Mhashamu Ask. Method Kilaini, Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Bukoba
Dada Jackline akiongozana na Mhashamu Ask. Method Kilaini, Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Bukoba
Taswira mbalimbali katika picha muda mchache kabla ya Ibada ya matanga ya Omulangira James Kikenya
Gonga hapa kuendelea kwa matukio zaidi ya picha.....

Nina kama ninah....
Nina kama ninah....
Neno la Bwana likisomwa.
Matukio wanafamilia wakitoa matoleo yao
Jamila Jammy Bashir pichani
Askofu Kilainin akiongoza Ibada ya Matanga ya Omulangira James Kikenya
Dada Jackline Kikenya,Askofu Kilaini na Mama Anna Tibaijuka katika picha ya pamoja
Picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Eneo la kaburi Ibada ikiongozwa na Mhashamu Ask. Method Kilaini, Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Bukoba
Dada Farida Kassim akiweka Ua kwenye kaburi la aliyekuwa rafiki yake Lucian Kikenya
Kutoka Buyango tupo na familia ya Mutafurwa.


Chichi Nyamwahura ,Deo Mutalemwa Mulangira na Omulangira Lambert wakati wakiwasili kuungana na familia ya Omulangira James Kikenya
Anaitwa Ms Aidah.
Mbunge wa Jimbo la Nkenge  Florent Laurent Kyombo pichani kushoto na Bi Murungi Badru Kichwabuta.
Mama ChifuMan na kijana wake
Neno kutoka kwa mzee Kashondwa rafiki na mlezi wa familia ya Omulangira James Kikenya.
Marafiki wa familia katika picha maalum kupitia Bukobawadau Media.
Dada Murungi na Dada Farida katika hili na lile.
Dk Mboneko akitoa neno kwa ufupi
Katikati ni Stide Kikenya akiwa na Omulangira Deo na Omulangira Lambert.
.    Muonekano wa kaburi lenye mwili wa Omulangira James Kikenya.
Bado tunaendelea kumuombea kwa MUNGU amjalie pumziko jema la milele
Wageni kutoka maeneo mbalimbali wakiendelea kuwasili mahali hapa.
Muendelezo wa matukio ya picha.
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau