Bukobawadau

MWAKA MMOJA KIFO CHA BALOZI EDWIN NOVATH RUTAGERUKA

Kumbukumbu ya Mwaka mmoja tangu kifo cha Balozi Edwin Novath Rutageruka imefanyika Ibada maalum ya kumaliza msiba (OKWABYA ) iliyoongozwa na Baba Askofu Almachius Rweyongeza,Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga Feb 18,2023

Muonekano wa Kaburi la mpendwa wetu Balozi Balozi Edwin Novath Rutageruka.
Baba Askofu Almachius Rweyongeza,Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga akiongoza Ibada ya kumaliza msiba Kifo cha Balozi Edwin Novath Rutageruka.

Mapadre wakiendelea na Ibada ya kumaliza msiba wa mpendwa wetu Balozi Edwin Novath Rutageruka
Bi Willielmina Balyagati akishiriki Ibada hiyo
Mzee Yahya Kagambo akiwa ameungana na watu wengine kushiriki Ibada hiyo.
Mzee Onesmo Neyegira pichani

Sehemu ya wadau walioshiriki Ibada hiyo iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita,Nyumbani kwa familia Kijijini Musibuka -Missenyi Feb 18,2023.

Prof Anna Tibaijuka wakati Ibada inaendelea..
Muendelezo wa matukio ya picha Ibada ikiwa inaendelea..
Umati mkubwa wa watu katika Ibada maalum ya kumaliza msiba mwaka mmoja kifo cha Balozi Edwin Rutageruka

Fr.Dr Faustin Kamugisha akitoa neno
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja na makundi maalum.
Mlangila Charles Rutinwa akisalimiana na wadau mbalimbali mara baada ya kuwasili kushiriki kumbukumbu ya mwaka mmoja kifo cha Balozi Edwin Rutageruka
..
Muendelezo wa matukio ya picha

Ndugu Mwombeki pichani akifuatilia kinachojiri...
Mzee Tonny Mutafurwa na Kaka Dan,Iluminata (Nyangoma) wakibadilishana mawazo
Huduma ya chakula ikiendelea kwa watu wote.
Aliyesimama ni Kaka Thadeo Mutafurwa katika picha ya pamoja na ndugu zake.
Muendelezo wa matukio ya picha
Vyama na makundi mbalimbali wakitoa salaam.

Endelea kupumzika kwa Amani Balozi Edwin Rutageruka.
Picha kwa ajili ya kumbukumbu
Eneo la makaburi Ibada ikiwa inaendelea
Wasifu wa Kaka yetu,ndugu yetu Mpendwa Edwin Rutageruka
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu kwenye kaburi la Mpendwa wetu Balozi Edwin Novath Rutageruka.

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau