Bukobawadau

YALIYOJIRI SIKU YA ENGAGEMENT YA KIJANA EDWIN MSHASHU MTOTO WA (MH.MAMA MSHASHU)

Hatimaye Kijana Edwin Mshashu  apiga hatua kuachana na ubachela baada ya kumvisha pete mchumba wake  Mwanadada Julith Jonathan  mbele ya umma,tukio lililofanyika May27,2023 tukio lililovutia watu wengi.
Naaam!!Hakika wamependeza wawili hawa ni Edwin Mshashu na mchumba wake Julieth Jonathan.

Ms Julith Jonathan katika Muonekano wenye tabasamu lenye thamani!!!!huyu ndiye mtalajiwa wa Kijana wa Mama Mshashu. Edwin Mshashu.
Mbunge wa viti maalumu mkoani Kagera, Bi. Bernadetha Mshashu pichani kushoto akitoa zawadi kwa Mka mwana wake wakati wa  Sherehe ya uchumba  wa Kijana wake Edwin Mshashu ,May27,2023
Fuatilia mtiririko mzima wa matukio ya picha  yaliyojiri Katika sherehe  ya Uchumba Engagement day ya Mkurugenzi wa makampuni ya Stein Group, Edwin Mshashu ambaye ni Kijana wa Mhe.Mama Bernadeta Mushashu .
Sherehe ni pamoja na mapambo....hapa kila kitu Safi!
Upande wa Wazazi wa Bw Edwin Mshashu wanaonekana wakifurahia jambo
Muendelezo wa matukio ya picha.
Karibu Mama...
Matukio ya awali wakati zoezi la utambulisho likiendelea..
Utu na Utulivu hakika mtu na mpenzi wake wamejaliwa 'Utu na Utulivu'
Kelvin akimvalisha pete mke wake mtarajiwa..
Ndivyo anavyo onekana Ms Julieth Jonathan mara baada ya kuvalishwe pete na mpenzi wake Edwin Mshashu
Ms Julieth  akinyoosha mkono wenye pete juu watu wote ,waalikwa wanamwangalia huku kiupepo chepesi kikuvuma kuashiria Ishara ya Upendo na baraka wakati huo Edwin Mshashu anatabasamu...

“Anyone can catch your eye, but it takes someone special to catch your heart.”...
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha.
“Two souls, one heart.”
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Pia tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe mbalimbali hii ni Huduma kutoka kwetu Siku zote 
Neno kutoka kwa Mama mzaa Chema Mh. Mama Mshashu
Mara baada yatukio la kufungua champagn
Mwendelezo wa matukio ya picha
Mzee Mshashu akitoa neno kwa niaba ya familia yake .
Muendelezo wa mtukio ya picha
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa ,tukio la engagement ya Edwin  Mshashu na Julieth Jonathan
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043
Next Post Previous Post
Bukobawadau