Bukobawadau

KUMBUKUMBU MWAKA MMOJA KIFO CHA MZEE SAMWEL KAHWA KAHABUKA -RUZINGA

Familia ya Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka wa Ruhija Ruzinga Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wameungana na Ndugu Jamaa na Marafiki katika Ibada ya shukrani ya Maisha ya Baba yao Mpendwa(Okwabya iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita nyumbani kwao Kijijini Ruhija -Ruzinga Wilayani Missenyi,June 30,2023

Ibada ya maalum ya kumbukumbu maisha ya mpendwa Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka ikiwa inaendelea nyumbani kwa familia kijijini Ruhija -Ruzinga Wilayani Missenyi June 30,2023

Mchungaji wa KKKT akitoa mahuburi wakati wa Ibada ya kumbukumbu maisha ya mpendwa wetu Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka
Taswira mbalimbali wakati Ibada ikiendelea...


Muonekano wa picha ya Juu kutoka Kijijini Ruhija -Ruzinga Wilayani Missenyi ,Nyumbani kwa familia ya Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka

Mdau Rwebangira mdau wa maendeleo ya Ruzinga pichani kulia akiwasili mahali hapa kuungana na wanafamilia ya Mpendwa Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka

Umati mkubwa wa watu wakiendelea kushiriki Ibada ya Kumbukumbu ya maisha ya Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuk

Wanakwaya wakiwajika.
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.
Ni muda kwa watu wote kupata huduma safi ya mchakula kilichoandaliwa
Huduma safi ya msosi ikitolewa kwa watu wote
Wana Ruzinga wapenda maendeleo pichani Rwebangira na Mzee Apson
Tunapata viwanja kutoka kwaya ya KKKT Ruhija
Endelea kufuatilia mtiriko mzima wa matukio ya picha

Kwaya ya familia ikiwajika kwa nyimbo za mapambio na kumsifu Bwana.
Kwaya ya familia ikiwajika kwa nyimbo za mapambio na kumsifu Bwana.
Kaka mkubwa wa familia akifanya utambulisho

Mabinti wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka
wakiwapungia watu mikono.
Tupo na Shangazi yetu pichani.


Waalikwa kutoka maeneo mbalimbali
Wasiliana nasi @Bukobawadau Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043

Ibada ya Mwisho eneo la Kaburi,tunamuombea pumziko jema mzee wetu
 


 
Watoto wa kuzaliwa na Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka wakiwa eneo la makaburi ya wapendwa waoSehemu ya wajukuu katika picha ya pamoja katika kaburi la Babu yao mpendwa Marehemu Mzee Samwel Kahwa Kahabuka
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu...

Tembelea kurasa zetu za Instagram na faceboo kwa matukio zaidi ya picha na habari za papo hapo
...Mwisho.


 

Next Post Previous Post
Bukobawadau