Bukobawadau

KAMATI YA BUNGE YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UWEZESHAJI VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana pamoja na Programu ya Taifa ya Ukuzaji Ujuzi kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii tarehe 15 Agosti, 2023 Bungeni jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Mendeleo ya Jamii Mhe. Fatuma Toufiq (kushoto) akizungumza mara baada ya kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana pamoja na Programu ya Taifa ya Ukuzaji Ujuzi kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii tarehe 15 Agosti, 2023 Bungeni jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa kamati hiyo Bi. Rehema Kipera.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akifafanua jambo wakati wa kikao hicho. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu akionyesha tangazo la mafunzo ya Uanagenzi kwa mwaka wa fedha 2023-2024 kuashiria utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Ukuzaji Ujuzi.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana pamoja na Programu ya Taifa ya Ukuzaji Ujuzi wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo tarehe 15 Agosti, 2023 Bungeni jijini Dodoma.


PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

 

 

 
 
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau