Bukobawadau

MOSHI MWEUPE MAKUMIRA MKUU WA KANISA SASA NI MALASUSA

Mkutano Mkuu wa 21 wa KKKT, umemchagua Baba Askofu Dk. Alex Gehaz Malasusa wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), kuwa Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kwa kipindi cha miaka minne ijayo kuanzia mwaka huu hadi 2027.

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau