Bukobawadau

VILIO, MACHOZI NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA ML.MICHAEL NJUMBA

Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Omulangila Michael Njumba.

Umati mkubwa wa waombolezaji katika mazishi ya mpendwa wetu Omulangila Michael Njumba

Mwanzo wa Ibada ya Mazishi ya Ml.Michael Njumba ikiombozwa na Mchungaji.
Wanafamilia ya IOml.Michael Njumba wakiwa tayari kushiriki Ibada ya Mpendwa wao.

Miongoni mwa Viongozi wa Serikali waliohudhuria misa ya kuuga mwili wa Mpendwa wetu ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. @AngellahKairuki. (Mb) na Balozi Mberwa Kairuki pichani kulia.
Ndugu jamaa na marafiki wakiendelea kushiriki Ibada hiyo

Waombolezaji wakiwa wameungana na familia ya mpendwa wetu Ml.Michael Njumba katika Ibada maalumu ya mazishi yake yaliyofanyika Oct 9,2023 Nyumbani kwake kijijini Kikukwe Kanyigo.
Waombolezaji wakiwa Katika Ibada hiyo.

Mchungaji wa kilutheli akiendelea kutoa mahubiri katika Ibada maalum ya mazishi ya Mpendwa wetu Omlangira Michael Njumba...

Msemaji na Mwakirishi wa Wanakadea Mzee Kamuzora akitoa Salaam za rambirambi
Ndugu Edwin Damacian akiratibu kinachoendelea msibani hapo

Kaka Harlod Baruti akifuatilia kinachojiri
Mzee Cathbert Basibila na Mzee Novatus Nkwama wakitoa hushuhuda wa wema wa Mpendwa wetu Omulangira Michael Njumba
Taswira mbalimbali wakati ratiba ikiendelea na taratibu za maziashi ya Omulangira Michael Njumba
Salaam za rambirambi zikiendelea kwa kuzin
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chadema, John Mrema akitoa salaam za rambirambi

Muendelezo wa matukio ya picha
Mzee Pius Ngeze akitoa Salaaam za rambirambi
Mzee Kalokola Bwesha akitoa neno na salaam za rambirambi kwa familia kwa niaba yake na kwa niaba ya wazee waishio Jijini Dar es Salaam

Kijana Evander ambaye ni mjukuu mkubwa wa Omulangira Michael Njumba akiwa amebeba msalaba
Bi Pamella Njumba na mme wake pichani

Muendelezo wa matukio ya picha...

Wasifu wa Ml.Michael Njumba ukisomwa na mtoto wake wa kiume...
Sasa ni wasaa wa kutoa heshima za mwisho kwa watu wote
Dada wa Oml.Michael Njumba katika hali ya Simanzi huku machozi yakimtoka.
Hakika ni huzuni mkubwa..

Bi Pamella pole sana Ndugu
Mwenyezi Mungu akupe moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. tunajua ugumu wa kukubali kuwa Mzazi wako/Baba hutomuona tena!...

Pole sana kwa familia kwa kumpoteza mpendwa wenu.
Muendelezo wa matukio ya picha

Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
i
Muendelezo wa matukio ya picha
..
Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya Mwisho ya Maisha ya Shujaa na mpambanaji Ml.Michael Njumba

Eneo la Makaburi Utaratibu wa mazishi ukiwa unaendelea..
Wadau mbalimbali ,Wanasiasa na Watu mashuhuri wameweza kushiriki mazishi ya Oml.Michael Njumba
Dk Muganyizi Kairuki akimfariji Dada Pamela Njumba.

Utaratibu wa kuweka mashada ya maua kwa Watoto wa Ml.Michael Njumba

Kupanga ni kuchangua hivyo kama unahitaji kazi nzuri sana, safi sana, unique, classy kwa ajili ýa siku yako muhimu iwe; harusi, sendoff, mahari n.k wasiliana na Vai Events wao ndiyo wakali wa hizi kazi, Wanaitwa #gamechanger Mawasiliano 0764 302 621 /0713 883020

Muendelezo wa matukio ya picha
Katika kuwafariji wafiwa ...Muendelezo wa matukio ya picha
Matukio ya awali picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu mbele ya Jeneza lenye mwili wa Oml.Michael Njumba.
Kaka Hosest Mshobozi  katika hili na lile..
Mrs Mushobozi pichani.
Dada  Agnes Makubo akiteta Jambo mara baada ya Mazishi ya Mzee wetu ,Baba Omulangira Michael Njumba
Bukobawadau Media kwa sasa tunayo Offer kabambe ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe mbalimbali
Jerome Rugemalila,Pamella Njumba na Evander katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Mapema picha ya Juu Nyumbani kwa familia ya Omulangira Michael Njumba
Balozi Mberwa Kairuki pichani katikati na Mh Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe.Angellah Kairuki @AngellahKairuki Msibani kwa Omulangila Michael Njumba wakimfariji mfiwa Bi Pamella Njumba mara baada ya mazishi yaliyofanyika Oct 9,2023 Nyumbani kwa familia Kikukwe -Kanyigo

TAZAMA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI MANENO YA MZEE KALOKOLA BWESHA MAZISHI YA OML. MICHAEL NJUMBA

Next Post Previous Post
Bukobawadau