Bukobawadau

OMULANGIRA MICHAEL NJUMBA KUZIKWA JUMATATU OCT 9, KIKUKWE - KANYIGO

Omulangila Michael Njumba,amefariki Dunia Jumanne Oct 3,2023 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipokuwa akitibiwa.
Omulangira Michael Njumba anatalajiwa kuzikwa Siku ya Jumatatu Oct 9 Nyumbani kwake kijijini Kikukwe -Kanyigo Mkoani Kagera

Umetangulia Omulangira Michael Njumba
"Umetangulia mbele! Nenda Baba tutakutana huko siku moja

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau