Bukobawadau

YALIYOJIRI KATIKA MISA TAKATIFU NA HAFLA YA KUMPONGEZA SR.PROFESA CLARA RUPIA

Wanafamilia ya Marehemu Omulangira Rupia wa Kiwa Maruku wakiwa katika picha ya pamoja na Baba Askofu Method Kilaini Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba mara baada ya Misa takatifu ya kumshukuru Mungu  iliyofuatiwa na hafla fupi ya kumpongeza Sr.Profesa Clara Rupia kwa kuwa (Associated Professor),Sept 22,2023
Mhashamu Askofu Kilaini katika picha maalumu kwa ajili ya kumbukumbu na 
Sr.Profesa Clara Rupia mara baada ya Misa maalum ya kumshukuru Mungu iliyoandaliwa na familia ya Omulangira Justinian Rupia na  Omumbeija Ma 'Victoria  Bwizanduru. Nyumbani kwao Kijijini Kiwa Maruku Bukoba Ijumaa Sep 22,2023.
Taswira nyumbani kwa wanafamilia wa Marehemu Omulangira Rupia
Mandhari safi ya kupendeza kutoka angani camera ya bukobawadau ikiwa eneo la tukio
Picha maalumu kwa ajili ya kumbukumbu kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Picha maalumu kwa ajili ya kumbukumbu kwa kuzingatia makundi mbalimbali kama unavyojionea.

Ndugu wa familia katika picha ya pamoja na Mhashamu Askofu Kilaini
Nani kama Mama?!
Muendelezo wa matukio ya picha sehemu ya wajukuu wa familia wakishow love na Mhashamu Askofu Kilaini,Sr.Profesa wa familia pamoja na Mpendwa Bibi yao...
Hakika ni furaha kubwa kwa wanafamilia wakati wanamuimbia na kufurahia uwepo wa mama yao mzazi katika tukio hili la kihistoria.

Mwanzo wa Matolewa ya Ibada hiyo.
Endelea kuperuzi ukurasa huu mpaka mwisho kwa matukio zaidi ya picha 200.

Matolewa wakati wa Ibada
Mwenyezi Mungu amenitendea. Makuu na jina lake ni Takatifu.Lk 1:49 
Wakati Misa maalum ya kumshukuru Mungu iliyoandaliwa na familia ya Marehemu  Mlangira Justinian Rupia ikiendelea  Nyumbani kwao Kijijini Kiwa- Maruku ,Bukoba.
Mhashamu Askofu Kilaini akiongfoza Ibada hiyo.
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043

Muda mchache kabla ya Misa Maalum ya kumpongeza Sr.Profesa Clara Rupia
Muendelezo wa matukio ya picha Mapema kuelekea Misa maalum.
Maandamano ya awali kuelekea eneo la Ibada...
Wakati wa maandamano
Picha ya kumbukumbu na yenye kuzungumza.
Huduma ya Chakula,Mulo ikiwa inaendelea...
Kwa mkhutasari muonekano wa Msosi Safi ulioandaliwa kwa watu wote
Ni wakati wa kupata burudani,Kadansee ikichukua kasi kwa namna ya pekee,Hongera Sana Sister Clara Rupia
Mwendo wa Kadansee...
Pingezi za hapa na pale na zawadi zikiendelea...
Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Muendelezo wa matukio ya picha Sehemu ya zawadi
Mama Byabato akitoa neno na historia kwa ufupi namna walivyoweza kulelewa vyema kwa ukaribu na Sr.Profesa Clara Rupia....
Mke wa Mh.Mbunge na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Stephen Byabato akikabidhi zawadi yake kwa Sr Profesa Clara Rupia
Hakika watu ni wengi kutoka maeneo mbalimbali wakiwa wameungana na familia hii siku ya leo.
Alice Theobart akitoa mkono wa pongezi na zawadi kwa Sr .Profesa Clara Rupia.
Kuelekea Mwisho Ndugu Jamaa na marafiki wa familia wakikabidhi zawadi za Sr.Profesa Clara Rupia.
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043
Meza kuu anaonekana mwenye furaha Sr.Profesa Clara Rupia,tunazidi kumuombea ufanisi mwema katika hatua hii
Taswira mbalimbali wakati hafla inaendelea...
Muendelezo wa matukio ya picha

Mwenyezi Mungu amenitendea. Makuu na jina lake ni Takatifu.Lk 1:49
Muendelezo wa matukio zaidi yaliyojiri Nyumbani kwa familia ya Omulangira Justinian Rupia na Omumbaija  Ma 'Victoria Bwizanduru 
Wanafanilia katika picha ya pamoja
MWISHO Bukobawadau tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu na kurasa zetu mbalimbali za Instagram na facebook pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote pale wasiliana nasi kupitia namba 0754 505043/ 0784 505045
Pia tuna Offer kabambe ya coverage ya Picha na video kwenye sherehe mbalimbali
Next Post Previous Post
Bukobawadau