Bukobawadau

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
 
 
 
 
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau