Bukobawadau

WANAHABARI KAGERA WAPEWA SEMINA YA UTOAJI ELIMU KWA JAMII KUHUSU UGONJWA WA POLIO

Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Afya wakiongozwa na Beaty Mwambebule wametoa semina kwa wanahabari mkoani kagera na kuwaasa kuwa mabalozi katika utoaji wa elimu ya umuhimu wa Chanjo ya Matone dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwani ni nguzo muhimu katika kuifikia jamii kwa haraka ikiwa ni sehemu ya Kampeni ya utoahji wa Chanjo dhidi ya Polio

Sehemu ya Wanahabari wakifuatilia maelezo kutoka kwa wataalam
Timu ya wanahabari kutoka wezara ya Afya.
Muendelezo wa matukio ya picha
;Beaty Mwambebule kutoka Wizara ya Afya akiongea na wanahabari.

 

_____
@thpstz @unaids @ummymwalimu @elimu_ya_afya @cdctanzania @uniceftz ;amref @wizara_afyatz @dorismollel @dr_mollel @unicefafrica @unicef @unaidsglobal
. 
 

Next Post Previous Post
Bukobawadau