JK YUKO BOSTON KUTOA MAFUNZO KWA MAWAZIRI WA AFYA NA ELIMU TOKA NCHI ZINAZOENDELEA KUPITIA MPANGO WA UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA HAVARD, MAREKAN
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Mrisho, yuko mjini Boston, Marekani ambapo anashiriki katika kutoa
mafunzo kwa Mawaziri wa Afya na Elimu kutoka nchi mbalimbali
zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Harvard (Harvard Ministerial Leadership Program) inayoendeshwa
na Chuo Kikuu cha Harvard. Mheshimiwa Dkt. Kikwete ni mmoja wa Viongozi
Wakuu wa Kitaifa Wastaafu wanoshiriki kutoa mafunzo hayo.
Akiwa
Boston, Mheshimiwa Dkt. Kikwete amekutana na baadhi ya wanafunzi
Watanzania wanaosoma hatua mbalimbali za elimu hapo katika Chuo Kikuu
cha Harvard.
Akiwa
Boston, Mheshimiwa Dkt. Kikwete amekutana na baadhi ya wanafunzi
Watanzania wanaosoma hatua mbalimbali za elimu hapo katika Chuo Kikuu
cha Harvard.Picha na Ofisi ya Rais Mstaafu