TANZIA: Bitus Nyema Afariki Dunia
Kwa
Masikitiko Makubwa tumepokea ma taarifa ya Kifocha Kaka yetu Bitus
Nyema Kilichotokea Mapema ya leo Jumatatu Sept 2,2024 Katika Hospitali
ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipata matibabu. Mazishi yake yanatalaji kufanyika siku ya Ijumaa Sep 6,2024 nyumbani kwao Kijijini Ishunju - Wilayani Missenyi .
Kaka Betus Mdau wa maendeleo,rafiki wa wengi umetangulia Mbele yako nyuma yetu.
BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.