Bukobawadau

RAIS DKT. SAMIA AMTEMBELEA BABA ASKOFU MKUU DAMIAN DALLU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA SONGEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Songea Baba Askofu Damian Dallu katika makazi yake yaliyopo Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea la Mtakatifu Mathias Mulumba Kalemba tarehe 23 Septemba, 2024.

Next Post Previous Post
Bukobawadau