VIONGOZI WA TAAWANU WAFIKA KWENYE KABURI LA HAYATI MAGUFULI
Viongozi wa Taasisi ya Taawanu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taawanu Hajjat Zahra Datan wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, hayati Dk. John Magufuli pamoja na kuweka shada la maua mara baada ya kuhitimishwa shughuli ya Maulid iliyofanyika Kitaifa Mkoani Geita.
Hajjat Zahra Datan akiongozana na wengine kuweka mashada ya maua katika kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
BukobawadauMatukio,Chato.